mabomu mengine Dar?

thatha

JF-Expert Member
Apr 29, 2011
15,340
1,566
wadau
nasikia milio ya mabomu kama ya mbgala na gongo la mboto
sijui Gongo la mboto?
 
Jee ni mabomu au nini?
nasikia maeneo ya Gongo la Mboto au Mbagala
naiskia milio mikubwa?
 
Nami nayasikiaa sanaa saa hizisaa sita usiku...yanasikika sana.....sijui pannde za wapi!!
 
aisee hata mimi nasikia.ni kama maeneo ya kiwalani lakini nafikiri gogo la mboto.au ndo wanalipua masalia ya mabomu?kwa kuwa ni usiku hakuna uhakika lakini wahindi sijawahi kusikia wanalipua fataki saa sita usiku.mia
 
Jamaa wa Gongo la Mboto wananambia kwao shwari
aisee hata mimi nasikia.ni kama maeneo ya kiwalani lakini nafikiri gogo la mboto.au ndo wanalipua masalia ya mabomu?kwa kuwa ni usiku hakuna uhakika lakini wahindi sijawahi kusikia wanalipua fataki saa sita usiku.mia
 
Nasikia kama milio hiyo imetulia hivi, sidhani kama ni fataki. Mwenye details atujuze ni kitu gani. Nipo kinondoni!
 
Back
Top Bottom