mabomu mengine Dar?

Nipo cocobearch ni baharini
aisee ni kweli.wale jamaa wa kwenye meli wana tabia ya kuripu lipua mafataki,hasa zile meli ambazo zimepaki baharini kusubili foreni ya kuingia bandalini.hapo ukute ni bday ya nahodha tu.kova inabidi aifanyie kazi.wanaturusha roho.Ka nchi ketu kenyewe mabomu yake yalishajiozea hayakawii kulipuka.laleni.mia
 
fataki zimepigwa marufuku siku hizi na maduka yameacha kuuza baada yakukamatwa sana,sasa inabidi hao wa melini waambiwe hatutaki ugonjwa wa moyo tena.
 
mi nimehama huko dar, nipo mbugani selous, hakuna kambi ya jeshi wala polisi huku,
 
wadau mi nipo karimjee hall nayasikia pia, ila gandhi yuko hapa mjini na pia diamond jubilee palikua pamepambwa hivyo nafikili gandhi alikua hapo na pia ndipo palikua na fataki
 
naona hao wako na umeme,niko Arusha muda huu,sisi tuko gizani miaka 50 ya uhuru!!!!.....
 
Back
Top Bottom