Mabomu gongo la mboto

MTENDAHAKI

JF-Expert Member
Mar 3, 2011
4,013
1,443
JWTZ imethibitisha kuwa hakutokuwa na ulipuaji wa mabomu katika ghala la gongo la mboto kama ambavyo uvumi ulianza kuenea!Hii ni kwa mujibu wa msemaji wa jeshi hilo alipokuwa akihojiwa na TBC jana!
 
Alisema kuwa mabomu yatalipuliwa jumatatu ya tarehe 13 june eti shule zote zitakapokuwa zimefungwa!
 
invyoonyesha watu muhimu ni wanafunzi peke yao tu,watoto wetu na raia wa kawaida hawaathiriki!hivi hakuna uwezekano wakayalipulia katikati ya bahari
 
JWTZ imethibitisha kuwa hakutokuwa na ulipuaji wa mabomu katika ghala la gongo la mboto kama ambavyo uvumi ulianza kuenea!Hii ni kwa mujibu wa msemaji wa jeshi hilo alipokuwa akihojiwa na TBC jana!

of course hajakosea kwani mabomu yetu hayahitaji kulipuliwa, huwa huwa yanajilipua. ref mbagala
na gongo la mboto
 
Mkuu, unataka tukose kitoweo au?!, jari pia haki za samaki maana nao pia wana feelings kama zako,

Back
Top Bottom