Elections 2010 Mabinti watumiwa kumrushia Mbowe kombora!

Status
Not open for further replies.
Hao inaonekana ni mabinti wa mafisadi,
kama sivyo, ni vifisadi in making..
Poor my beloved country!
 
mbona siielewi hii video.... wanahamasisha ngono au kampeni!! "ETI LILE FATAKI LAKO VIPI "....
 
hizi ni siasa za maji machafu . kama kampeni zimefika mpaka hapa kweli kazi ipo
 
wanaotunga hayo matangazo shule imeenda kushoto nao wameenda kulia angalia hapa ucheke huyu mama Ntilie anavyojibu utumbo yaani ni ame-cram na anachoongea na mind coordination na facial expression tofauuuuuutiiiiii! njaa hizi! nadhani CHADEMA wanapaswa wajibu na kudondoka kwa rais waulize kama ana mdondo au? watumie ile clip ya Jangwani! patakuwa patamu hapo!
 
Ikiwa kweli elimu ya kulipa ndio inatoa matunda haya basi bila shaka bora Dr. Slaa atupe Bureeee, hiyo bora Elimu..
 
I like this... sasa MBowe anagombea Urais wa nchi gani?

Sijawahi kuona watu waliochoka kimawazo kama hawa. Badala ya kulinganisha GDP na makusanyo ya kodi ili kupima uwezo wa serikali kujikusanyia mapata, wanadai Mbowe atafanya ufisadi kwenye GDP. Wawezaje kuiba GDP? Ama kweli hii ndiyo athari ya bora elimu.
 
Ha ha haaa Yaani hawa ndiyo think tank wa CCM

Hivi nini Maana ya Tume la Taifa la Uchaguzi

Haki ya Mungu hawa ndio wasomi wenyewe, halafu mbona wanaonekana kama watoto wa kishua?
 
Ha ha haaaa Nimesoma hii nimecheka sana, siyo siri Slaa anawapa tumbo la kuhara mafisadi
 
Hawa wasichana wanafahamika sana katika ile mitaa ya kujiuza usiku hapa jijini Dar. Huyo Dada mwenye mdomo uliorefuka kama samaki chuchunge anaishi Sinza kumekucha. Wapo katika biashara hawana lolote jipya.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom