Either way, security (financial!) ni mojawapo ya vipaumbele kwa mwanamke kabla hajaingia kwenye mahusiano.....labda alikuwa anaanza kutest hilo!
sio wote wanaoenda club ni machangu ila kauli ya mtoa mada kusema alimbip nakuomba vocha ya 10000 ndo imenisababisha kusema hivyo what do you expect from changu sio mzinga???yuko pale kutafuta urafiki wa kudumu au kuchukua chake mapema asepe??????Samahani Shoshte Si wote wanaoenda clubin ni ma Changu .. wengi sana wamekutana na wenza Wao clubbing na kumbi nyingi za strareheWame oa/olewa na familia sasa...Hujui utakutana na uliyepangiwa wapi..Si wote wanakutana ofisini hata kwenye daladala...
Mmenikumbusha huyu facebooker mmoja nilipoonana nae siku ya kwanza, ya pili alinipiga mzinga wa laki nzima, sababu ya mzinga ni kapoteza ela ya mama ambayo alikuwa katumwa mboga sokoni!!! Sikumpa kwakweli na chapter iko closed mpaka leo
Ngoja ukute ni dada yako unamuita kahaba!Hakuna kitu kama hicho....Huyo ni kahaba tu!
Ila siku hizi mabinti ni balaa ni mizinga tu wanapiga,kuna tulikutana ktk mazingira ya kawaida tu alinibip na 50000,akaniambia kuna ishu anaifix then atairudisha nkausoma mchezo nkajua hapa ntaishia kupigwa mabusu na kukumbatiwa ,nkamwambi pesa ninayo ila niko very budgeted now days ,akasema its ok,nlipompigia baadaye either to solve in otherway round,akaniambia NIMKOME.i told her nilishamkoma ndo maana sikumpa !
Ngoja ukute ni dada yako unamuita kahaba‘!
sorry kama umenielewa vibaya ila maana yangu ni kuwa kunao wanaenda pale kibiashara na kama ameenda pale kibiashara ndo maana alitanguliza mambo ya hela kwanzaIna maana wanaoenda club ni machangu tu? Mi sometimes huwa naenda club na mpenzi wangu - ina maana naye ni changu? Ebu sahihisha msemo wako.
Aiseeee....hongera sana!Kwani dada yangu hawezi kuwa kahaba, amekuwa malaika?? Anaweza kuwa kahaba na akiwa kahaba nitamwwambia kwamba wewe ni kahaba, siwezi kumficha! Mwanamke kahaba hajifichi. Wanawake wanaotanguliza ''Invoice'' kabla ya ''K'' ni makahaba! Hilo linajulikana, na huwa wanawaokota hao hao wageni hapa mjini. Wajanja huwashtukia mapema.
Kwa hayo niliyo-highlite napata picha kuwa hata wewe ulikosea kutafuta mtu decent kwa vigezo vya "msomi" na "kazi nzuri"... asilimia 90 ya vyangudoa hapa mjini hasa katika maeneo mengi yanayotembelewa na wastaarabu hutumia gia hizo za "usomi" na u-independent woman" wakijua kuwa utanasa kwake kirahisi na atakutumia au kuku-nyonya kiuchumi kwa njia rahisi sana...
na kwa taarifa yako huyo ulekutana naye sio mzoefu kabsaa wazoefu huwa hawapigi mizinga ya vocha tena nextday baada ya kukutana... wazoevu huwa wana-invest kwako kiasi kama tsh laki 1-3 then ukipigwa invoice unatoa gari au nyumba...
dogo mke wa ndoa hatafutwi club... huyo mpe hiyo alfu 10 mjengee mazingira muafaka mle kiboga kisha mtoe na kama 50 flan then mpotezee mbaya investment cost hapo hailipi.
BJ ni hatari gani ?? hiyo umeistukia maana hatari ya kwanza nlishaikwepa ya kugeuzwa kamtajihii ni kali...bora ulimkoma kwanza hana ustaarabu!!!..hapo kwenye bold mmmh...una hatari wewe,looooh
uliposema club ndo umeua mazima huyo sio dem ni changuuuuuuuuuuuu
Hahahaha lol, hebu sikia na hii
Unazijua sifa za mrembo wa mjini?
1. Anatakiwa ajue kudrive hata kama hana gari
2. Awe na elimu ya chuo hata kama ni level ya certificate
3. Awe anajua kuongea english hata kama ni code-switching
4. Awe anajua kupangilia nguo na viatu hata kama ni za beri rahis na ajue kujipamba
5. Asijipendekeze kwa mwanaume hata kama anavutia waje wenyewe
6. Ajue kujishughulisha hata kama hana kinachomshughulisha
7. Ajue habari za nje na ndani hata kama hazimhusu
so mkuu inawezekana umekutana na aina hii ya mrembo
Hivi majuzi kati nilikutana na binti mmoja club fulani hapa jijini. Tukachati hapa na pale, then tukapeana contacts za simu. Nikakaa siku kama tatu hivi, nikam-text, badala ya kujibu akaanza kunibip. Nikampigia simu, tukazungumza kidogo ikiwa ni pamoja na kuweka mihadi ya kukutana jioni ya siku hiyo. Wakati tunafikia mwisho wa mazungumzo msichana akaniambia naomba unitumie vocha ya 10,000/=. Nikamwambia sawa, kimsingi sikumtumia, akaanza kubip, akabip kama mara 3 hivi, baada ya kama saa moja hivi akatuma sms kwamba bado anaisubiria hiyo vocha. Sasa cha kujiuliza hapa ni kwamba hivi hawa wasichana wanaotanguliza njaa hata kabla ya kufahamiana vizuri ni sahihi kweli? Je hiyo si kumfukuza mpendwa mtarajiwa? Hawaoni kwamba hiyo inaonyesha hali ya ngono ya biashara tangu mwanzo ambayo kwa mtu mstaarabu haitamvutia?Nawasilisha.
Hahahaha lol, hebu sikia na hii
Unazijua sifa za mrembo wa mjini?
1. Anatakiwa ajue kudrive hata kama hana gari
2. Awe na elimu ya chuo hata kama ni level ya certificate
3. Awe anajua kuongea english hata kama ni code-switching
4. Awe anajua kupangilia nguo na viatu hata kama ni za beri rahis na ajue kujipamba
5. Asijipendekeze kwa mwanaume hata kama anavutia waje wenyewe
6. Ajue kujishughulisha hata kama hana kinachomshughulisha
7. Ajue habari za nje na ndani hata kama hazimhusu
so mkuu inawezekana umekutana na aina hii ya mrembo