Mabinti wanavyowafukuza Wapendwa Watarajiwa

Either way, security (financial!) ni mojawapo ya vipaumbele kwa mwanamke kabla hajaingia kwenye mahusiano.....labda alikuwa anaanza kutest hilo!
 
We nawe buku kumi za kibongo ndo unalia?!Embu mtumie huko acha uchoyo sijui ubahili!
 
Mmenikumbusha huyu facebooker mmoja nilipoonana nae siku ya kwanza, ya pili alinipiga mzinga wa laki nzima, sababu ya mzinga ni kapoteza ela ya mama ambayo alikuwa katumwa mboga sokoni!!! Sikumpa kwakweli na chapter iko closed mpaka leo
 
Either way, security (financial!) ni mojawapo ya vipaumbele kwa mwanamke kabla hajaingia kwenye mahusiano.....labda alikuwa anaanza kutest hilo!

Hakuna kitu kama hicho....Huyo ni kahaba tu!
 
Samahani Shoshte Si wote wanaoenda clubin ni ma Changu .. wengi sana wamekutana na wenza Wao clubbing na kumbi nyingi za strareheWame oa/olewa na familia sasa...Hujui utakutana na uliyepangiwa wapi..Si wote wanakutana ofisini hata kwenye daladala...
sio wote wanaoenda club ni machangu ila kauli ya mtoa mada kusema alimbip nakuomba vocha ya 10000 ndo imenisababisha kusema hivyo what do you expect from changu sio mzinga???yuko pale kutafuta urafiki wa kudumu au kuchukua chake mapema asepe??????
 
Mmenikumbusha huyu facebooker mmoja nilipoonana nae siku ya kwanza, ya pili alinipiga mzinga wa laki nzima, sababu ya mzinga ni kapoteza ela ya mama ambayo alikuwa katumwa mboga sokoni!!! Sikumpa kwakweli na chapter iko closed mpaka leo

...kweli ...Promises are comfort to a fool
 
Ila siku hizi mabinti ni balaa ni mizinga tu wanapiga,kuna tulikutana ktk mazingira ya kawaida tu alinibip na 50000,akaniambia kuna ishu anaifix then atairudisha nkausoma mchezo nkajua hapa ntaishia kupigwa mabusu na kukumbatiwa ,nkamwambi pesa ninayo ila niko very budgeted now days ,akasema its ok,nlipompigia baadaye either to solve in otherway round,akaniambia NIMKOME.i told her nilishamkoma ndo maana sikumpa !

hii ni kali...bora ulimkoma kwanza hana ustaarabu!!!..hapo kwenye bold mmmh...una hatari wewe,looooh
 
Ngoja ukute ni dada yako unamuita kahaba‘!

Kwani dada yangu hawezi kuwa kahaba, amekuwa malaika?? Anaweza kuwa kahaba na akiwa kahaba nitamwwambia kwamba wewe ni kahaba, siwezi kumficha! Mwanamke kahaba hajifichi.

Wanawake wanaotanguliza ''Invoice'' kabla ya ''K'' ni makahaba! Hilo linajulikana, na huwa wanawaokota hao hao wageni hapa mjini. Wajanja huwashtukia mapema.
 
Ina maana wanaoenda club ni machangu tu? Mi sometimes huwa naenda club na mpenzi wangu - ina maana naye ni changu? Ebu sahihisha msemo wako.
sorry kama umenielewa vibaya ila maana yangu ni kuwa kunao wanaenda pale kibiashara na kama ameenda pale kibiashara ndo maana alitanguliza mambo ya hela kwanza
 
Kwani dada yangu hawezi kuwa kahaba, amekuwa malaika?? Anaweza kuwa kahaba na akiwa kahaba nitamwwambia kwamba wewe ni kahaba, siwezi kumficha! Mwanamke kahaba hajifichi. Wanawake wanaotanguliza ''Invoice'' kabla ya ''K'' ni makahaba! Hilo linajulikana, na huwa wanawaokota hao hao wageni hapa mjini. Wajanja huwashtukia mapema.
Aiseeee....hongera sana!
 
Kwa hayo niliyo-highlite napata picha kuwa hata wewe ulikosea kutafuta mtu decent kwa vigezo vya "msomi" na "kazi nzuri"... asilimia 90 ya vyangudoa hapa mjini hasa katika maeneo mengi yanayotembelewa na wastaarabu hutumia gia hizo za "usomi" na u-independent woman" wakijua kuwa utanasa kwake kirahisi na atakutumia au kuku-nyonya kiuchumi kwa njia rahisi sana...

na kwa taarifa yako huyo ulekutana naye sio mzoefu kabsaa wazoefu huwa hawapigi mizinga ya vocha tena nextday baada ya kukutana... wazoevu huwa wana-invest kwako kiasi kama tsh laki 1-3 then ukipigwa invoice unatoa gari au nyumba...

dogo mke wa ndoa hatafutwi club... huyo mpe hiyo alfu 10 mjengee mazingira muafaka mle kiboga kisha mtoe na kama 50 flan then mpotezee mbaya investment cost hapo hailipi.

Hahahaha lol, hebu sikia na hii

Unazijua sifa za mrembo wa mjini?
1. Anatakiwa ajue kudrive hata kama hana gari
2. Awe na elimu ya chuo hata kama ni level ya certificate
3. Awe anajua kuongea english hata kama ni code-switching
4. Awe anajua kupangilia nguo na viatu hata kama ni za beri rahis na ajue kujipamba
5. Asijipendekeze kwa mwanaume hata kama anavutia waje wenyewe
6. Ajue kujishughulisha hata kama hana kinachomshughulisha
7. Ajue habari za nje na ndani hata kama hazimhusu

so mkuu inawezekana umekutana na aina hii ya mrembo
 
Hain kwele mwana wa kwetu,kama vip njoo kitaa kuna mashostito wa ukweli wako poa kichizi...hawahitaji pamba wala chapaaa,weupe,weusi,udhurungi,wanene,wembamba,wakati mpaka mabaunsa na mkikutana cha kwanza anakwambia mwende ibada alafu home,masuala ya cash anakwambia karibu kwao ukatoe mahari....achana kabisa na hao mashobo usije kuta unauhama mji
 
Kumbe mnaogopa mizinga, ngoja nianze kuwapiga mizinga wasumbufu wote ili wakimbie.
 
Mungu huwakutanisha watu ktk namna mbalimbali na sehemu mbalimbali yawezakuwa kanisani, msikitini, shule, kazini, club, hapa JF, kituo cha basi etc
Huyo binti nahisi huo ni utoto unamsumbua, mwanaume kuhonga ni lazima na sikatai lakini kumpigisha mtu mzinga wa ki-cheap tena chapchap namna hiyo kwa wanaume wengi wastaarabu hiyo ni RED FLAG tayari. She was too fast
 
Hahahaha lol, hebu sikia na hii

Unazijua sifa za mrembo wa mjini?
1. Anatakiwa ajue kudrive hata kama hana gari

2. Awe na elimu ya chuo hata kama ni level ya certificate
3. Awe anajua kuongea english hata kama ni code-switching
4. Awe anajua kupangilia nguo na viatu hata kama ni za beri rahis na ajue kujipamba
5. Asijipendekeze kwa mwanaume hata kama anavutia waje wenyewe
6. Ajue kujishughulisha hata kama hana kinachomshughulisha
7. Ajue habari za nje na ndani hata kama hazimhusu

so mkuu inawezekana umekutana na aina hii ya mrembo

Once again, I reserve my TEEEEEEETH!
Naomba uni-text (sio PM) ili nianze kucheka
I salute you . . .
 
Hivi majuzi kati nilikutana na binti mmoja club fulani hapa jijini. Tukachati hapa na pale, then tukapeana contacts za simu. Nikakaa siku kama tatu hivi, nikam-text, badala ya kujibu akaanza kunibip. Nikampigia simu, tukazungumza kidogo ikiwa ni pamoja na kuweka mihadi ya kukutana jioni ya siku hiyo. Wakati tunafikia mwisho wa mazungumzo msichana akaniambia naomba unitumie vocha ya 10,000/=. Nikamwambia sawa, kimsingi sikumtumia, akaanza kubip, akabip kama mara 3 hivi, baada ya kama saa moja hivi akatuma sms kwamba bado anaisubiria hiyo vocha. Sasa cha kujiuliza hapa ni kwamba hivi hawa wasichana wanaotanguliza njaa hata kabla ya kufahamiana vizuri ni sahihi kweli? Je hiyo si kumfukuza mpendwa mtarajiwa? Hawaoni kwamba hiyo inaonyesha hali ya ngono ya biashara tangu mwanzo ambayo kwa mtu mstaarabu haitamvutia?Nawasilisha.

Pamoja na kwamba inasemwa sio wote waendao Club si makahaba, lakin huyu anaonekana anazo sifa zote kuu.
Siku hizi kuna mabinti ambao wamekuwa branded MAKAHABA FRESH.
Actually hawa huwa hawajiuzi kimwili sana kama wale wa kawaida, bali wao huanza kwa njia za KUKUKUBALIA OMBI LAKO (hata kama hujasema unamtaka) then anaanza kukutoa pesa kwa vocha. Utakuta kwenye simu ameku-save VOCHA MWENGE na mara nyingi hutumia kigezo kwamba ukifuatwa na mwanaume ujue anataka K tu, na wanaamini wanaume wengi wako tayari kukupa chochote ukiwaahidi kutoa K yako.
 
Hahahaha lol, hebu sikia na hii

Unazijua sifa za mrembo wa mjini?
1. Anatakiwa ajue kudrive hata kama hana gari
2. Awe na elimu ya chuo hata kama ni level ya certificate
3. Awe anajua kuongea english hata kama ni code-switching
4. Awe anajua kupangilia nguo na viatu hata kama ni za beri rahis na ajue kujipamba
5. Asijipendekeze kwa mwanaume hata kama anavutia waje wenyewe
6. Ajue kujishughulisha hata kama hana kinachomshughulisha
7. Ajue habari za nje na ndani hata kama hazimhusu

so mkuu inawezekana umekutana na aina hii ya mrembo

Ha ha ha MATY, HAPO KWENYE BOLD UMENIGUSA SANA,
SIKUHIZI WATU WENGI FAKE KWELIKWELI,
KILA KITU KIZURI WANACHO WAO,
MTAJI WENYEWE HANA LAKIN ATAKWAMBIA WIKI ILIYOPITA,
NILIENDA CHINA, DUBAI,UK,USA, SA NA KWINGINEKO,
YAANI NI FULL KUJIFAGILIA.....
U KNOW, U KNOW NYIIIINGI.

WANAWAKE WA MUJINI BWANA KWA KUJIPANGA TU?!!, WANAJITAHIDI .......KAZI KWELI KWELI.....
 
Back
Top Bottom