ooooh,i remember wakat naish holl two nimeibiwa 2 tymes.......na hiki ndo kipindi cha wizi.......kama ulishawahi kuibiwa unaweza kufahamu machungu!
ooooh,i remember wakat naish holl two nimeibiwa 2 tymes.......na hiki ndo kipindi cha wizi.......kama ulishawahi kuibiwa unaweza kufahamu machungu!
mi nafikiri wamekremu zaidi kuua lazima wapige mawe ilikuwa issue ndogo kumnywesha ule uchafu wa maji ya chooni nyuma ya lile hall
ashiki unamnywesha kikombe kizima unamwachia..sisi tulimkamata mwizi wakataka kumpiga nikawambia tutumie mbinu mbadala jamani
tukaenda nyuma ya nyumba ya mtu ikatafutwa ndoo na kikombe jamaa akalazimishwa kunywa akachiwa asbh wanamkuta yuko kala baruti njia ya kimara kuita shika saa nyingi..so vijana wangu sikunyingine msionekane wauwaji bali waamuliaji mpeni maji ya tanki la chooni kikombe kimoja kinamtosha
anyway
Goodjob
Wanafunzi wanaoishi mabibo hostel wanamalizia kumuua mwizi aliyeruka toka gorafa ya 3 block e. daah jamaa hawana hata huruma.
yaan ni mawe tu wanaponda kichwani. anamwagika damu balaa.
kwa hiyo umetupa updates ya mwzi akiuawawa na wana chuo LIVE , kweli JF ni kibokoTayari wameua.
Kuna mwingine aliuliwaga zamani kidogo maeneo ya geti maji engineering Mlimani kwa kushukiwa mwizi. Tena yeye si kuwa aliuliwa baada ya tukio la wizi la hasha. Ni kwamba kulikuwa na udokozi mdogo mdogo kama nakumbuka vizuri wa vifaa vya ujenzi, wakahangaika kutega mitego hawakufanikiwa. Siku ya tukio kijana wa watu katoka kwenye maghorofa ya maji pale kumsalimia dada yake akakatiza engineering ili atokezee Cafteria ya zamani; katoto si kakaropoka ......yule mwizi ni yule......... ikawa mwisho wa maisha ya yule kaka. !!Nikikumbuka kile kisa kilichomtokea jamaa pale IFM kwa kupokea kichapo baada ya kusingiziwa kuwa ni mwizi... kumbe alikuwa ametoka kwenye chumba cha Msichana wake,alipigwa bila hatia na hali hiyo ilipelekea kifo chake baadaye...Kabla ya kuchukua za kumpiga mtu (Mob Justice) tuweni makini...
Hukumu hii wanapewa vibaka, wanaoiba weusi kwa wazungu hela nyingiiii wanapeta. <br>
Siwatetei wezi ila jamani mtaani maisha magumu. Nilishamkamata mwizi nikamweka chini nikaongea naye kwa kina kisha nikamuacha aende zake.
hii nchi haina sheria wewe,Poleni sana wafiwa. Nilitegemea wasomi wangefuata sheria.
Wanafunzi wanaoishi mabibo hostel wanamalizia kumuua mwizi aliyeruka toka gorafa ya 3 block e. daah jamaa hawana hata huruma.
hii nchi ina wanasheria tu ila haina sheria wewe,Fuateni sheria mkiwa kama wasomi.
ulivyoandika kichwa cha habari...bado sijelewa."mabibo wamuuwa mtuhumiwa wa mwizi"sasa huyo mwiz mwenyewe mbona ameachiwa?
"mtuhumiwa wa mwizi"
Hiki ni kiswahili gani??!! nawewe pia ni MSOMO??
Umesema mtuhumiwa wa mwizi dah mi nimeshtuka