Elections 2010 Mabere Marando kuibukia CHADEMA?

Mabele Marando dawa yake ni kumuua kisiasa...njia ni moja tu....kuyaweka maombi yake ya uanachama PENDING mpaka baada ya uchaguzi...tena wanaweza kulipigia press conference kabisa...ha ha ha ha!Yaani kipindi hiko atakuwa amechomoka CCM na huku CHADEMA ndo yuko pending basi najua kazi atakuwa nayo...ha ha ha ha....
 
Inaweza kuwa nzuri au mbaya,but I think amejaribu kusense na kuona mwanya wa yeye kuwa mgombea mwenza CHADEMA.Asiwe opportunist,he must be real.Changes inakuja,haya shime sote twende Chadema,tuijenge Tanzania yetu
 
ni rahisi kwa MABERE MARANDFO KUWA MREMA LYATONGA MPYA KABISA........yaani wale waliotumwa kuharibu upinzani wakati nchi za wenzetu zinafurahia kuwepo upinzani kwani ni chachu kubwa ya mabadiliko ya kitaifa
 
Mabere Nyaucho Marandu yuko CCM, wala hayuko NCCR Mageuzi.
Habari za kipashkuna kama hizi ni za kuzipuuza kabisa, na zina wafanya hatters wapate sababu ya kusema kuwa JF imekufa.

sasa wewe bujibuji unasemaje sasa na kweli Mabere kajiunga Chadema?mmmmh
 
Aliyewai kuwa katibu mkuu wa NCCR- MAGEUZI na wakili wa kujitegemea Mabere Marando amejitangaza kijiunga na chama cha demakrasia na maendeleo CHADEMA wakati na mkutano wake na wahariri wa vyombo mbalimbali ya habari jijini dar es salaam leo.
 

Attachments

  • 2 jk86.JPG
    2 jk86.JPG
    120.3 KB · Views: 52
Wapenda mageuzi wote yatupasa kuwa na subira na kumpa nafasi mabere ili aweze kupimwa na wanachama.

Itakuwa hatari kama anaingia na kupewa uongozi wa juu wa chama, vinginevyo tusianze kumlaumu bila kutathmini as time goes on.

Chonde chonde mpeeni nafasi ya kupimwa.
 
Wapenda mageuzi wote yatupasa kuwa na subira na kumpa nafasi mabere ili aweze kupimwa na wanachama.

Itakuwa hatari kama anaingia na kupewa uongozi wa juu wa chama, vinginevyo tusianze kumlaumu bila kutathmini as time goes on.

Chonde chonde mpeeni nafasi ya kupimwa.

Wewe ndie umesema inabidi akichukuliwa achukuliwe kwa tahadhari maana atawatibua sasa hivi chadema
 
Aiyaahh!! agent wa TISS kaingia kazini

Je kazi za TISS na agents wao ni kusambaratisha vyama?
Kama kweli basi kuna haja ya kuunda taasisi nyingine ya kuwasambaratisha kwa kuwa nchi yetu ni ya vyama vingi!!
 
tatizo letu TISS yahitaji mabadiliko makubwa sana, kuwa TISS sio tatizo kama kazi ya ni kutetea maslahi ya taifa, ila TISS ni vibraka wa CCM
 
Ama kwa hakika Chadema wamemkaribisha nyoka ndani ya chama hicho.Tatizo la idara yetu ya Usalama wa Taifa ni kuweka mbele maslahi ya kisiasa badala ya maslahi ya taifa.Badala ya kutengeneza mikakati ya kuhujumu mafisadi,inaelekeza nguvu zake katika kuhujumu wanamageuzi wa dhati.I'm sorry,Dkt Slaa,but kwa kumkaribisha Marando umempa ahueni kubwa JK.
 
Je kazi za TISS na agents wao ni kusambaratisha vyama?
Kama kweli basi kuna haja ya kuunda taasisi nyingine ya kuwasambaratisha kwa kuwa nchi yetu ni ya vyama vingi!!

Hawana kazi nyingine kwa sasa. Siku za hatamu walitushika kwa kusema mabaya ya CCM.

Marando SUMU. Tusisahau aliyoyafanya kwenye ubunge wa EAC.
 
Tahadhari ya hali ya juu inapaswa kuchukuliwa na chadema kuhusu huyu mtu. Kusiwe na deal yoyote na huyu. Raia wa kawaida imetuwia vigumu sana kutofautisha jukumu la hawa watu watatu katika upinzani. M. Lamwai, Mrema na Marando
 
Lakini hata hivo mbona jamaa kaja ghafla hivo? Amekuja kwa spidi ya mwewe kabisa! Tena baada ya kutangazwa mgombea urais. Nami naamini kuna jambo huyu bwana amekuja kulifanya. Huyu ni kirusi.
 
Back
Top Bottom