Elections 2010 Mabere Marando kuibukia CHADEMA?

Aliyewai kuwa katibu mkuu wa NCCR- MAGEUZI na wakili wa kujitegemea Mabere Marando amejitangaza kijiunga na chama cha demakrasia na maendeleo CHADEMA wakati na mkutano wake na wahariri wa vyombo mbalimbali ya habari jijini dar es salaam leo.
I am disappointed with the move because Naona sasa CHADEMA limekua chaka la kupokea masalia ya mufilisi wa kisiasa

Marando is not a person you'd want to have in your team, he is intelligent... YES, he is a wonderfull speaker... YES, but he is an agent to resist changes

I am not sad because ni member wa CHADEMA, la hasha... I am disappointed because Marando is not a good visitor to any political party
 
Simwamini huyo Marando hata aliyeleta habari hii. No for both of you.



Sasa ametangaza rasmi kwenda CHADEMA ,unasemaje?

Ndugu yangu jaribu kuelewa kuwa kuna vyanzo vingine vya Habari si lazima vitajwe humu na kama una kumbukumbu ni kuwa taarifa nyingi uanzia hapa JF kama tetesi na pengine wanapost hizo taarifa ni wahusika wakuu,naomba wewe na wenzako mlionishambulia kuhusiana na hii post MKOME NA MKOMAE KUANZIA LEO

Jaribu kusoma alama za nyakati kwa kujadili hoja iliyoletwa kama ina maslahi kwa nchi badala ya kudandi dandia tu.

HUU NI UASHAURI TU,TUSONGE MBELE..............
 
Chadema endeleeni kukusanya matatizo,uzuri wa chama sio wingi wa wanachama bali umakini na nia thabiti ya kuleta mageuzi,sasa hivi mtaanza kutupiana viti kwenye mikutano,tangu lini marehemu mkamuhesabu kwenye familia?
 
I think this is a very good move for Marando and i think it is going to strengthen the party...he is smart....he is very good politician and he gonna add an MP position for the opposition. Chadema in the verge of becoming a force to reckon with...
 
Wajameni sasa Chadema tuamke na kuisadia, huyo marando kazi alotumwa kuifanya NCCR ameimaliza, sasa
anaingia chadema! Mbowe upo hapoo? plz take note jamaa amefika!
 
Simwamini huyo Marando hata aliyeleta habari hii. No for both of you.

Mabele.JPG

Hapa ni aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Chama cha NCCR-Mageuzi, Wakili wa kujitegemea, Mabere Marando akitangaza kujiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wakati wa mkutano wake na wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari jijini Dar es Salaam, leo. Kushoto ni Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri, Absalom Kibanda(Picha kwa hisani ya Michuzi)
 
na bado wale reject kutoka CCM, tusubili kura za maoni zikiisha tutaona mengi.

hapo ndiyo tutajifunza mengi kuhusu nia hasa za vyama na wagombea wake kama ni kutetea nchi au kutetea matumbo
 
jamani hakuna chama kinachomkataa mtu na hata sheria haitaruhusu kubagua watu wa kujiunga nacho, muhimu katimiza masharti yote, muhimu wawe makini yasiwakute yaliyokuta NCCR mageuzi
 
Sioni ubaya wowote iwapo jamaa hakufuata madaraka ndani ya Chama bali ni mwanachama wa kawaida kama wengine; inawezekana anataka kugombea ubunge kwa tiketi ya CHADEMA, that is fine as long as CHADEMA ina mfumo wa uongozi ulio wazi usioruhusu loopholes zinazoweza kuleta mfarakano ndni ya chama. Kule NCCR-Mageuzi kulikuwa na matundu kadhaa katika mfumo wao wa uongozi, kwa mfano Mrema alipewa uenyekiti bila kuwapo na uchaguzi, mwenyeketi alikuwa na mamlaka ya kuamua lolote analotaka hata bila kuwashirikisha viongozi wengine wa chama. Mfumo huo ulikuwa ndiyo chanzo cha mfarakano mkubwa katika NCCR-Megeuzi na ndiyo maana kilisambaratika. Kuna viongozi wengi, kwa mfano Profesa Baregu, waliohama NCCR-Mageuzi na kuingia CHADEMA na wanaendelea vizuri tu.
 
Chama ni kama dodoki, Kama Mabere ni mvurugaji na as long as CHADEMA wanalijua hilo then hakuna matatizo. hivi wote wanaojiunga na Chadema wanakuwa screened kabla? Kama ni TISS mbona wamejaa tele kwenye vyama vya upinzani including CHADEMA? mimi ninavyojua Mrema ndiye aliyemvuruga Marando wakati ule wa NCCR Mageuzi. kama wote walikuwa mawakala wa CCM hili sina uhakika nalo.
Ni jambo jema kumchukulia kwa tahadhari lakini si kumkataa.
 
MIMI BINAFSI NO SUPPORT KABISA HUYU JAMAA SIDHANI KAMA NI POTENTIAL ENOUGH KUINGIA CHADEMA , NADHANI HILI JAMBO LIFIKIRIWE IN 3D HUYU JAMAA ALIMSAMBARATISHA MREMA…ATIMULIWE CHADEMA :eek2:

Mama huyu bwana hakuwahi kufanya against Mrema. Walikuwa wanacheza mchezo wa kuigiza. Kama hujui wote wako usalama wa Taifa todate. Ukitoka usalama wa Taifa kaburini. Sasa kazi yao ni kuvua wajinga na kujua siri zao, then wanamalizwa. Kamuulize Masumbuko atakwambia kilichompata. Ulizia wote waliokuwa waropokaji wa ukweli waliko sasa hivi utapata jibu. Baada ya kuona wamemaliza kila chama sasa wamegundua kuwa Dr Slaa anapata siri nyingi za serekali, wanamtuma mkongwe akadodose anakozipata. Na ni nani wa kufanya hii kazi? Mabere ndiye potential candidate. Mrema usanii umegunduliwa na sasa ni mzee hajui anafanya nini sasa na wananchi tunamjua.
Kama Chadema wakipiga hesabu ndogo tu ya 1 na 1 watapata jibu.
MABERE NYAUCHO MRARANDO HATAKIWI CHADEMA ASILANI. NI HATARI KULIKO KUCHEZA NA CHATU. I DARE TO SAY THAT.
HE IS THERE FOR SPECIAL JOB AT THIS TIME. MKIMKUBALI ITS JUST A MATTER OF TIME YOU WILL SEEEEE.
 
Jamani hata mchawi akishajua wamemtambua mbinu zake hawezi tena kutembeza ulozi wala sumu. Marando watu wamemshtukia na kumsema. Viongozi wa Chadema wameshashtuliwa. Sidhani kama jamaa atakuwa na ubavu wa kuleta madudu yake: kwanza ataogopa kwa sababu wanamjua, pili wenzake watapigia hesabu miondoko yake. Cha maana Chadema wasilale usingizi wa pono.
 
Naona sasa kila mtu anataka kuwa significant.... I THINK dawa ni kumpotezea tu huyu Mabere Marando, hata akiamua kujiunga na TLP... Kuwapa promo hawa political prostitutes ni kudhoofisha upinzani na demokrasia kwa ujumla

Mzee huyu jamaa ni zaidi ya hayo ni SHUSHUSHU , anadai hatagombea ubunge hana nia, sasa jiulize ni nini zaidi? CHADEMA wataumia, jamaa yuko kazini, Mrema type at the end of the Day anaripot sisi m.

Mrema alisema shushushu huwa hastaafu kazi,,,,,,:sleepy:
 
I think it will not even take months. This is the stupidest thing CHADEMA has done this week.

Otherwise CADEMA playing the same game. If they are real serious they should not let this guy in the house. I am starting to get suspicious!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom