Miaka mitatu imepita na tayari yametimia. Airtel Money kutoa mikopo hadi shilingi Laki 5.By the way, huu ni wakati wa mabenki kuacha ku-rely in traditional banking practices! Dunia ina-change very fast huku sekta hiyo (banking sector) ikiwa inatishiwa na changamoto nyingi zinazotokana na maendeleo ya sekta ya teknolojia ya mawasiliano. Ingawaje Tigo Pesa na M-Pesa imeanza miaka michache tu iliyopita, lakini tayari idadi ya wateja wake ipo almost the same as wale walio kwenye traditional banking sector iliyopo zaidi ya miaka 50 iliyopita! Tayari, upande wa deposits kwa mabenki umeshatikiswa na uwepo wa mobile banking! Sooner or later, mabenki yatarajie kutikiswa upande wa mikopo....!! Tayari, kampuni za simu zinakopesha wateja wake muda wa maongezi, hivyo muda si mrefu utakuja kusikia wanaanza kutoa mikopo midogomidogo! Hili linawezekana kabisa....let's wait and see; time will tell. Na hilo likitokea, utakuwa ni mtikisiko mwingine kwa mabenki, husani yale ambayo ni purely, retail banks.
Hii idea ilishatolewa na CRDB bank kama miaka miwili iliyo pita, sema utekelezaji ndio issueMawazo ya kisomi;tafiti sio rasmi ila inafaa kukupa credit ata udokta kabsa(causa)weka ata email yako bas wenye shida za mawazo tutakutafuta utusaidie MTAANI PAGUMU SANA AISEE.GPA TUMEZIFUNGIA KWENYE MABEGI YA BIBI ZETU@TANX SANA
Hii post ni ya miaka mitatu iliyopita.Hii idea ilishatolewa na CRDB bank kama miaka miwili iliyo pita, sema utekelezaji ndio issue
Miaka mitatu imepita na tayari yametimia. Airtel Money kutoa mikopo hadi shilingi Laki 5.
Timiza FAQsmkuu chige, hawa Airtel mikopo yao ipo vp,? ukitaka kukopa unafanyaje na ukikopeshwa hiyo laki5 unarudisha shng ngp (yaan interest shng/asilimia ngp?) na unarudisha kwa muda gan?
mkuu chige, hawa Airtel mikopo yao ipo vp,? ukitaka kukopa unafanyaje na ukikopeshwa hiyo laki5 unarudisha shng ngp (yaan interest shng/asilimia ngp?) na unarudisha kwa muda gan?
Decision makers hawana mpango coz' hawana cha kupoteza but financial institutions have something to loose so, nilitarajia hata wao wangejaribu ku-push! Wakati nazungumzia uwezekano wa kampuni za simu kutoa mikopo ilionekana ni kama jambo lisilowezekana... Airtel ndo hao, wamejaribu and am very certain, kama wamejipanga basi they can make it happen! Kwenye kampuni za simu, kuna royal and honest subscribers kama walivyo kwenye mabenki. Hawa royal and honest subscribers, kama ilivyo kwa wengine wote, huwa wana-face financial crisis from time to time... hawa ni soko la kuanzia kwa kampuni za simu na hili likifanikiwa (am certain linaweza kufanikiwa) itakuwa ni threat kubwa, kwanza kuanzia na micro-lending, and later even to SME lending.Mawazo yapo decision makers hawana mpango