Mabasi yaendayo kasi hayooo...!!!

Kimbweka

JF-Expert Member
Jul 16, 2009
8,597
1,683
mabasi yaendayo kasi.jpg

Haya sasa mabasi yaendayo kasi hayoooooooo
visingizio vingine vije sasa.....
 
Mmmh sidhani kama ndiyo hayo, mbona yako tofauti na yaliyo kwenye brochure za DART?
 
Simba wamepewa aboodi ha ha ha

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
mbona kama aboud..na yannuliwe sasa hivi wakati STRABAG hawaonekani kumaliza leo wala keshokutwa,si yataoza
 
Haya sasa mabasi yaendayo kasi hayoooooooo
visingizio vingine vije sasa.....

Itabidi yakae 'store' au 'yafungiwe kwenye 'yard' kwa miaka mitano ijayo kusubiri barabara zikamilike !!
Maana hizo barabara ujenzi wake ndio kwanza 'umezinduliwa' jana !!
Upo hapo !!??
 
KAMPUNI ya Bia Tanzania kupitia Bia ya Kilimanjaro Premium Lager hatimaye inatarajia kukabidhi mabasi mapya ya kisasa kwa timu za Simba na Yanga siku ya Ijumaa asubuhi.

Meneja wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, George Kavishe alisema jana kuwa maandalizi yote yamekamilika na makabidhiano hayo yatafanyika katika viwanja vya ofisi za TBL Ilala.

"Zaidi ya wageni 100 wamealikwa kwenye hafla hii itakayofanyika Ijumaa hapa TBL na kati ya hawa wageni kutakuwa na baadhi ya mashabiki wa timu hizi mbili kwa hivyo tunatarajia makabidhiano ya aina yake," alisema Kavishe.

Kwa mujibu wa ratiba, baada ya makabidhiano, kila timu itaondoka na basi lake na wachezaji na mashabiki na kupita katika matawi yao kwa msafara maalumu utakaoambatana na burudani mbalimbali huku mashabiki wa timu hizi wakitarajiwa kuyapokea mabasi hayo na kuwashangilia wachezaji wakipita katika matawi.
 
Acha kutudanganya magari yametolewa msaada na TBL KWA SIMBA NA YANGA NDO WANAYATENGENEZEA BARABARA?
 
Simba chama kubwa hadi basi lake limewekwa mbele ya la yanga.....tehetehe, simba inaoongoza, wengine wanafuatia.
 
Ila hizi rangi zimekaa kisiasa,hasa ukiangalia yanga rangi yake CCM pure
 
Yutong kumbe inekwenda kasi........

Hahaha yanenda kasi balaaa.....
Kuna tajiri mmoja anaitwa zakaria kule tarime, amenunua haya mabasi yanafanya tripu za Mwanza to silari.......
Ukipanda hayo mabasi lazima uandikwe jina na utoe namba ya ndugu yako ambaye hasafiri.................
 
Back
Top Bottom