Mabasi yaendayo kasi hayooo...!!!

nakutatakia vicheko vyema sana Kimbweka,pia nashukuru kwa taarifa yako kuhusu kutokuwa mshabiki wa Simba wala Yanga ,nakuhakikishia taarifa yako nimepokea,,,,,

Haya weekend njema!!
Karibia mwezi ujao kwenye uzinduzi wa treni iendayo kwa kasi zaidi......!!
 
View attachment 65554

Haya sasa mabasi yaendayo kasi hayoooooooo
visingizio vingine vije sasa.....

Hilo la rangi ya kisamvu litaanza kutumika wakati wa kampeni za igunga na Tanzania One Theatre (TOT). CCM Oyeeeeeeee CCM juuuuu Niseme Nisisemeee?? Mgomba una rangi ganiiii?? Niseme Nisisemeee?? Kudadadadadadadadadadekiiii..

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 

Attachments

  • Basi Liendalo kasi Manzese.jpg
    Basi Liendalo kasi Manzese.jpg
    69.1 KB · Views: 31
Acheni kubeza maendeleo ya CCM ninyi.... Dar itakuwa kama hivi!!!!!
 

Attachments

  • FUTURE OF MANZESE.jpg
    FUTURE OF MANZESE.jpg
    63.9 KB · Views: 37
Back
Top Bottom