Mabasi ya 'Dar Express' yanahujumiwa?

VITa vyetu si juu ya damu na nyama bali ju ya falme na mamlaka za pepo wa chafu wa serikali hii ya tanzania...hatimae tutashinda wachaga tusiwe na hofu kwa hili ""KWA BWANA YESU KILA GOTI LITAPIGWA"""NEEMA ZA MUNGU
Kwani ni vita ya wachaga na akina nani ?
 
VITa vyetu si juu ya damu na nyama bali ju ya falme na mamlaka za pepo wa chafu wa serikali hii ya tanzania...hatimae tutashinda wachaga msiwe na hofu kwa hili ""KWA BWANA YESU KILA GOTI LITAPIGWA"""
Mtamkuta YESU nae kapiga goti akiomba; Baba yangu ulie Mbinguni naomba kikombe hiki kiniepuke !
 
Nilikuwa natumia sana magari ya dar express kwenda kaskazini kikazi..

Lakini niliacha kwasababu "Kwaya mtindo moja hadi Arusha" as if wote ni wanamaombi..lol

Dar express jirekebishe abiria hawana dini so punguza kwaya na nyimbo za kikristo kuwa neutral

Ukiendekeza udini kwenye biashara utaishia ku-fail ushauri wa bure..
 
Dar express ndio yenye huduma nzuri hakunaga mabasi mengine njia ya dar ar?acheni propaganda zenu!mimi nawafagilia sana kilimanjaro express (kesheni mkiomba)
 
Tujuze hizo hujuma kwa sababu wengine kama mimi nimeachwa nja panda


Mkuu hata mimi mara nyingi nimekuwa najiuliza kuna nini?
Hizi habari zimeanza kuvuma tangu mwezi uliopita. Kiukweli kuna thread kibao humu ndani zenye topic hii. Hivi ni kwanini Dar Express tu? Sitetei hujuma, ila nimeishaanza kupata hofu ikiwa hakuna kamchezo tunafanyiwa wana JF.

Mimi pia nimekuwa nikitumia mabasi haya, ila kama kuna taratibu zimekiukwa naamini hii ni kampuni kubwa inaweza ikatumia taratibu za kisheria ili kupata haki yake. Hata tukiendelea kulalamika humu inaweza isiwe suluhu.

Hofu yangu isije ikawa kuna mtu analipwa kwa kila thread anayopost humu, maana naona ni malalamiko tuuu, lakini hatuambiwi kwa upande wake, kampuni ina mapungufu gani. Kigezo cha kampuni ya mzawa sio hoja endapo kuna utaratibu unakiukwa. Kwa wao wanatoa huduma bure? Je labda bei zao ni nafuu? La hasha. Kama nilivyosema mimi pia mara kadhaa natumia mabasi yao, huduma zao unalipia. No, nimeishaanza kustuka sasa.
 
Nilikuwa natumia sana magari ya dar express kwenda kaskazini kikazi..

Lakini niliacha kwasababu "Kwaya mtindo moja hadi Arusha" as if wote ni wanamaombi..lol

Dar express jirekebishe abiria hawana dini so punguza kwaya na nyimbo za kikristo kuwa neutral

Ukiendekeza udini kwenye biashara utaishia ku-fail ushauri wa bure..
Mwenyezi Mungu atatunusuru ! Maana mle mapambio mtindo mmoja, unakuta mtoto wa kike kang'ang'ania anaimba 'nimeonja utamu wa Yesu......utamu eeh.....utamu wa Yesu ! Halafu eti ni Mung.......daaah!
 
ni noma, hana mpinzani uyu jamaa, anaki2 benz full a c toka dar mpaka r chuga!
 
nimekuwa ubungo leo nimeyaona yakiingia zaidi ya mara 10 na kumwaga abiria kisha kuondoka,sasa sijui kama yamefungiwa bado
 
Wana JF,

Napennda kufukisha Duku duku lang ambalo linanipelekea kuwa na wasiwasi mkubwa sana kuwa kampuni ya mambasi arimaarufu hapa nchini DAR EXPRESS kuwa mbioni kufirisika.

Sababu zifutazo

Uongozi mbovu
Huduma mbovu
Vitendea kazi vibovu.


Nitazama kwa tukio kubwa siku chahce nikadhani ni kuwa ndio utaratibu bali nimekuja gundua ni kufirisika ndiko kumeanza

Mnamo tarehe 29/12/2011 nilipata safari ya ghafla kwenda Dar na ikanigalimu kuondoka 30/12/2011 cha kushangaza nilikata tiketi na haikuwa na Bus namba na wakaniambia haina neno ukija the same day utapata basi la kuondoka saa moja asubuhi na muda ulipo fika kweli basi likawasili kituoni hapo Arusha kalibu na seliani Hospital turekebishiwa ticketi zetu na utaratibu ulikuwa ni wakiholela kwani nili notes mtu (abiria mmoja) kapewa bus tofauti na lakwangu na tulipaswa kuwa nae kwa bus moja yeye akaondoka na la sa moja mimi nikaondoka na la saa moja na nusu nilijiuliza kama ndio utaratibu huo umeanza basi Dar express na Management yake yote ni mbovu hwajui jinsi ya ku run business tena au wanafirisika.

Mbaya zaidi leo narudi zangu Moshi mambo yakwa ni yale yale basi tulilopangiwa this time ticketi zetu zilikuwa na namba kabisa na basi halikuja tukapewa basi jingine na kufika chalinze kumbe pale kulikuwa na wasafiri wengine wanaelekea Arusha tukawaacha pale ila kwa mtu nae mjua akanijuza walipakizwa bus la mwisho la Dar expres kwa msaada wa Police pale Chalinze.

Sasa kwa hali hii nadhani Viongozi wa Dar Express sasa ni muda muafaka kujipanga na kutambua kuwa usafiri wao unachoka na unapoteza wateja na kama muna mabus machache kwanini msiyatumia hayo machache na kuboresha huduma kuliko kuwa waongo na matapeli wa kuwabadilisha wasafiri mabus bila kuwajuza ????

 
Kwani ana mabus mangapi mpaka afirisike?
Idadi ya mabus yake yanao enda mikoa ya Kilimanjaro na Arusha alafu na Kenya yatafikia idadi ya mabus ya Sumry au Abood au Hood?
 
Wana JF,

Napennda kufukisha Duku duku lang ambalo linanipelekea kuwa na wasiwasi mkubwa sana kuwa kampuni ya mambasi arimaarufu hapa nchini DAR EXPRESS kuwa mbioni kufirisika.

Sababu zifutazo

Uongozi mbovu
Huduma mbovu
Vitendea kazi vibovu.


Nitazama kwa tukio kubwa siku chahce nikadhani ni kuwa ndio utaratibu bali nimekuja gundua ni kufirisika ndiko kumeanza

......... na seliani Hospital turekebishiwa ticketi zetu na utaratibu ulikuwa ni wakiholela kwani nili notes mtu (abiria mmoja) kapewa bus tofauti na lakwangu na tulipaswa kuwa nae kwa bus moja yeye akaondoka na la sa moja mimi nikaondoka na la saa moja na nusu nilijiuliza kama ndio utaratibu huo umeanza basi Dar express na Management yake yote ni mbovu hwajui jinsi ya ku run business tena au wanafirisika.

........... basi halikuja tukapewa basi jingine na kufika chalinze kumbe pale kulikuwa na wasafiri wengine wanaelekea Arusha tukawaacha pale ila kwa mtu nae mjua akanijuza walipakizwa bus la mwisho la Dar expres kwa msaada wa Police pale Chalinze.

...... ni muda muafaka kujipanga na kutambua kuwa usafiri wao unachoka na unapoteza wateja na kama muna mabus machache kwanini msiyatumia hayo machache na kuboresha huduma kuliko kuwa waongo na matapeli wa kuwabadilisha wasafiri mabus bila kuwajuza ????


Asee wewe ni bingwa wa kuraramika.....kwani ulisafili mala ngapi?
 
Mkuu RR sijaelewa umeandika nini "kuraramika" kiswahili cha wapi unashindwa kuandika kulalamika ? kama hiyo haitoshi umerudia tena makosa yale yale "mala ngapi" unashindwa kuandika mara ngapi ?.Tafadhali usituharibie lugha yetu adhimu.

Asee wewe ni bingwa wa kuraramika.....kwani ulisafili mala ngapi?
 
Back
Top Bottom