LiverpoolFC
JF-Expert Member
- Apr 12, 2011
- 11,348
- 3,219
Hajui kuandika kiswahili!!!!!!!!!!!!!!!!!
Mwambie atupe tafsiri ya lugha Baba yake Ama Mamaye! Wengine inaweza ikawa ni makalimani wazuri tu!
Hajui kuandika kiswahili!!!!!!!!!!!!!!!!!
mkubwa!
Yani humu ndani tuna raia ambao ni mizigo flu!
Na kwa kuwa tupo nao hakika tuenende na hivi hivi bila shaka wanaweza elimika hapo mbeleni.
Ama vipi tutamwomba mods aangalie hili upya!
Happy new year 2012!
mleta mada kashindwa kufikisha ujumbe wake,pili bado kiswahili kinampa shida kuandika.
Tatizo hujui hata unasema nini...familia yangu inahusika moja kwa moja na hiyo kampuni..Filisika?? Unacheza kweli....
Ndugu yangu, mtoa mada hajatia juhudi kutupa ushahidi wa Dar express kufilisika, hii haimuhusu cos ametumwa na wale mafisadi wanaonyemelea northern circuit, waache waje, sisi wateja twamjua mtoa huduma.
Nimekulia kanda ya ziwa (Mwanza) msijifanye sana ni wachambuzi wa lugha humu ndani mbona watu wa india kusema we wao wana sema vi na huko Jber south africa rrrrrr ni nyingi sana mbona wamasai wanachanganya wewe jari ujumbe kufioka na sio kuchunguza lugha wewe kama huja kutana na janga kama hilo kaaa kimya kabisa.
Kasumba ya mtanzania kujifanya kukosoa lugha tujali ujumbe umefika au
Wewe usichoelewa nini hapo? ukiona huelewi ujue wewe kichwa nazi
Mkuu mimi sio ***** unajaua eeeh ? T 255 BLC Dar express imeingia Arusha saaa 3 usiku uliza pale standi ya Dar expresss Dreva alivyo washiwa moto na abiria na kule chalinze kulitokea niniulizeni OCD wapale Chalinze leo issue ya Dar express msiongeee kwani mimi ndie nilikuwa kwa basi najua kiliochotokea chote kama bus halitoi huduma nzuri tuwe wawazi na huyo Neema mtoto wa mwenye bus nitampa zake kesho asubuhi na mtazisikia kwa Radio kesho. Dar expresss imekuwa sanya sanya njiani.
Hawa Huduma imekwisha hakuna cha sikukuu wala nini tukubali kuwa watanzania esp wafanya biashara tuna tamaa sana hatujui nini maana ya kutoa huduma bali twajali pesa tuuu na sio kutoa service. Dar expresss imechoka wajirekebishe wasilazimishe biashara kama mabasi hawana.
Penye ukweli tuwe wawazi. kama kampuni fulani haifanyi vyema tunaiweka wazi humu tuache ushabiki me husafiri sana njianai huko ila kama bus limefika hatua haliwezi tioa namaba ya bus mpaka siku unayotaka ondoka ndio wapewa namba ya bus ni utapeli huo. hapa hatuna chuki binafsi bali twaelezana ukweli tuu live bila chenga.
DAR EXPRESS SERVICE ZAO NI POOR wabadilike huo ndio ukweli waaandishi wa habari hojini wasafili
SUMATRA nanyi hamjui mnalo fanya ni kubebana tu huko na matajiri ni njaaaaaa huko Arusha hawapendi fake fake mtakuja umbuka. Muuwaulize waudumu wa hilo bus tajwa husika kuna mama mmoja katukana matusi mbaya kuanzia dreva mpaka waudumu hapo standi yao Arusha mpaka waka gwaya
Nimekulia kanda ya ziwa (Mwanza) msijifanye sana ni wachambuzi wa lugha humu ndani mbona watu wa india kusema we wao wana sema vi na huko Jber south africa rrrrrr ni nyingi sana mbona wamasai wanachanganya wewe jari ujumbe kufioka na sio kuchunguza lugha wewe kama huja kutana na janga kama hilo kaaa kimya kabisa.
Kasumba ya mtanzania kujifanya kukosoa lugha tujali ujumbe umefika au
Mkuu RR sijaelewa umeandika nini "kuraramika" kiswahili cha wapi unashindwa kuandika kulalamika ? kama hiyo haitoshi umerudia tena makosa yale yale "mala ngapi" unashindwa kuandika mara ngapi ?.Tafadhali usituharibie lugha yetu adhimu.
Hahaha...dalili za jazba maana kwake matumizi ya L na R ni kiboko
hili tatzo la heruf 'l' badala ya 'r' litaisha lini?
laia kama hawa ndio mabingwa wa kuraramika wakati hata gali renyewe langi zake hazijui.
msome mtoa mada utajua nani kaharibu kiswahili
Nimekulia kanda ya ziwa (Mwanza) msijifanye sana ni wachambuzi wa lugha humu ndani mbona watu wa india kusema we wao wana sema vi na huko Jber south africa rrrrrr ni nyingi sana mbona wamasai wanachanganya wewe jari ujumbe kufioka na sio kuchunguza lugha wewe kama huja kutana na janga kama hilo kaaa kimya kabisa.
Kasumba ya mtanzania kujifanya kukosoa lugha tujali ujumbe umefika au
Read mzee...soma sentensi yangu vizuri....
Umenielewa....:lol:
Umakini wa kuandika.....sina shida na kuongea (labda ni beyond repair)
Hahaaaa....
Sawa BW.....(mzima weye?)
Mkuu ni vema kukubali makosa na ujirekebishe...sidhani kama kanda ya ziwa ndio inayokufanya uchanganye 'r" na 'l'....ingekua ni kuongea ningekubali kwamba umeathiriwa na lugha mama (japo unachanganya).....sioni uhusiano wa kukosea kuchapa (kwa vidole) na utamkaji....ni umakini tu unakosa.... (btw: wahindi ama wamasai kukosea haikupi uhalali wa wewe kukosea).
Jambo lingine hujapangilia vizuri hoja zako.....tulia panga!
Heri ywa mwaka mpya wadau......
Tatizo hujui hata unasema nini...familia yangu inahusika moja kwa moja na hiyo kampuni..Filisika?? Unacheza kweli....
Asee wewe ni bingwa wa kuraramika.....kwani ulisafili mala ngapi?
Nami nichukue fursa hii kuchangia thread hii,
Ni kweli magari ya Dar Express huduma zake zimepungua, sana na kutoridhisha. Sitapenda kuongelea kiushabiki kwa sababu sifaidiki na chochote kama watu wakipanda au wasipopanda magari hayo.
Magari hayo ukiyaangalia hata kwa nje yana muonekano mbaya, jana nilikuwa stand kumpokea mgeni stand ya Dar Express karibu magari yote matatu yaliyokuwepo pale vioo vya dereva ni kama vilikuwa vimeng'oka na kuungwa kienyeji enyeji! Nikajiuliza magari kama haya yanapoharibika ina maana yanapelekwa garaji zisizo na kiwango, hivyo nikatilia shaka hata SERVICES ya magari hayo. Hii inathibitishwa na kuharibika kwa magari ya Dar Express njiani mara kwa mara.
Usafi na huduma kwa ujumla hazikidhi haja, wameanza kuwa kama mabasi ya Ngorika yanavyofanya au Happy Nation!!! Wahudumu wake hawapo seriously na huduma ni kama wanafanyia mazoea na watu walisha claim ukitaka kuja Arusha ni usafiri ni Dar Express. Kwa huduma inazotoa Dar Express saizi naanza kuifananisha na iliyokuwa Scandinavia ilipozidiwa na wateja ikaanza kuvurunda!!!
Naomba unisaidie haya maswali:
- Huduma za mabasi mengine zikoje?
- Je huduma zao(Dar express) zilikuwa nzuri kipindi cha nyuma?