Kuhani
JF-Expert Member
- Apr 2, 2008
- 2,944
- 64
mkuu mahalu, moses sio ma career diplomats. ni wateuliwa tu.
Kafara,
Career diplomat manake nini?
Ni mtu aliyekuwa diplomat kipindi kirefu. Kwishne. Whether alianza kwa kuteuliwa au vinginevyo. (And the last time I checked hakuna diplomat anaepigiwa kura!!)
Huyu Moses katoka Ottawa kaenda Stochkolm, miaka kibao. Na kabla ya hapo nimewahi kusoma sehemu alikuwa balozi sehemu nyingine na kabla ya hapo alikuwa ofisa wa mambo ya nje Wizarani, foreign affairs (sina uhakika kwa hili). You don't get to be more "career diplomat" than that.
Mahalu nae background yake haikuwa diplomasia toka mtoto mchanga lakini alikuwa balozi miaka mingi tu.
Lakini, vyovyote vile unatakavyo amua ku define "career diplomat" point ninayomwambia huyu Pundit ni kwamba hawa kina Moses na Mahalu walikuwa mabalozi miaka mingi na bado wakaharibu! U-career diplomat, nsomile na ushushushu isiwe kigezo.