Mabalozi Waandamizi Warudi Nyumbani...

Mwawado

JF-Expert Member
Nov 2, 2006
993
252
Mabalozi Wanne Waandamizi wanarudi nyumbani baada ya muda wao wa kulitumikia Taifa aidha kustaafu kufika Kikomo.Mabalozi Emmanuel Mwambulukutu (South Africa),Ret.Maj.Gen Makame Rashid (Malawi),Dr.Ben Moses (Sweden) na Dr.Mahiga (U.N) wamemaliza muda wao na wanarudi nyumbani mwezi huu wa Novemba.

Kuna baadhi ya mabadiliko ya kawaida katika embassies nyingi na wizarani.Balozi capt.Abubakar Ibrahim pia anastaafu.Tusubiri Mabalozi wapya ambao watachaguliwa kuziba nafasi zitazokuwa wazi..

Tusubiri habari kutoka kwenye vyombo vya serikali,lakini kama kawaida JF ndio huanza kupenyeza habari.
 
wazee wang'atuke vijana waingie..karibuni nyumbani tuendelee na ujenzi wa taifa. nawapongeza sana kwa kutuwakilisha na kulitumikia taifa kwa kipindi chote.
 
Wakirudi wanapewa Uenyeviti wa bodi za mashirika mwendo mdundo.....
 
Hivi Makame alifanikisha kulipatia ufumbuzi wa kudumu suala la mpaka kati ya Tanzania na Malawi?
 
Kazi, nani sijui atawekwa U.N, sehemu nyeti sana ile J.K inabidi asilete michezo yake ya appointment za kiushkaji ushkaji ama sivyo clout yetu ndogo tuliyoanza kuirudisha pale itaondoka kabisa.
 
Wewe unataka awekwe nani?
 
Wewe unataka awekwe nani?

Rafiki yangu Nyani McCain ... no? Au tunaweza kumpa babu yake John McCain baada ya kushindwa Tuesday, just consolation prize, uraia chap chap na ubalozi hapo hapo.But then again he said some nasty words about the UN.

Emmanuel Asajile Mwambulukutu, just to hear CNN anchors and State Department types trip over the name (how is he doing by the way?)

Sir George Kahama (just to flaunt our fake Knight) if the British have a Kinight there so can we, albeit a fake one.

Ali Karume, while on the nobility/ royalty issue, why not? Is the chap still in Germany or jobless?

In all seriousness, pale anatakiwa mtu mwenye track record ya ushushushu na aliye career diplomat msomi. I am having a hard time coming up with a rightly qualified candidate, but then again I don't have the dossiers Kikwete has.
 
I shmell a come from behind VICTORY, my friend.....President Elect John Sydney McCain.....

Unamjua Emmanuel Mwambulukutu wewe?
 
In all seriousness, pale anatakiwa mtu mwenye track record ya ushushushu na aliye career diplomat msomi.

Pundit unanichekesha kweli. Yani umeona intelligence community ya Tanzania ndio chanzo kizuri cha kutoa wawakilishi wazuri? Mabalozi karibu wote wa Tanzania siku zote ni watu wa Intelligence (ukiondoa wajeshi na makada wa CCM) lakini nitajie shushushu mmoja balozi who is worth his name zaidi ya Mahiga.

Intelligence community ndio hiyo imetoa wakina Pinda, na kina Apson, na Kitine waliokuwa na mashutuma kibao ya malfeasance. Na huko TISS kumejaa nepotism, patronage and corruption ndio unanambia ni source nzuri ya muwakilishi wa UN. Please. Kwenye ubalozi wawe wanawekwa characters fulani ambao hawatetemeki mbele ya Western suits. Lipumba types. Mi nishaona Wazee wa Kibongo wakisimama mbele ya hawa wakubwa wenzao wa mataifa wanakuwa kama wamemwagiwa maji ya baridi. Wanaitikia tu. Ndio maana nawazimia Wanigeria, manake they don't give a rat's a$$ mbele ya Westerners.

Shushushu wa Kibongo, please! Bongo kuna ushushushu Ikulu inatumia domain za Yahoo.com ? Wale wakina dada wa nepotism waliojaa pale New York mission kuna uliyeona anafanana na ushushushu pale? Ushushushu wa ofisini kwao Kijitonyama na New York wapi na wapi?

And then save me with the "msomi" stuff, Ok! Nobody was more "msomi" than Prof. Mahallu, na Dr. Moses, na Dr. Ballali, and not to forget the illustrious A. J. Chenge, the famed "Harvard Lawyer." You got Dr. Moses hiring Kenyans at the Stockholm mission (na pale DC mission kuna watu wanapokea simu eti hawajui Kiswahili, jaribu kupiga sasa hivi) na kajinunulisha majumba ya Serikali kinyume na taratibu. Prof. Mahallu na Dr. Ballali walichotutenda mpaka leo tunalia machozi!
 
Pundit unanichekesha kweli. Yani umeona intelligence community ya Tanzania ndio chanzo kizuri cha kutoa wawakilishi wazuri? Mabalozi karibu wote wa Tanzania siku zote ni watu wa Intelligence (ukiondoa wajeshi na makada wa CCM) lakini nitajie shushushu mmoja balozi who is worth his name zaidi ya Mahiga.

Intelligence community ndio hiyo imetoa wakina Pinda, na kina Apson, na Kitine waliokuwa na mashutuma kibao ya malfeasance. Na huko TISS kumejaa nepotism, patronage and corruption ndio unanambia ni source nzuri ya muwakilishi wa UN. Please. Kwenye ubalozi wawe wanawekwa characters fulani ambao hawatetemeki mbele ya Western suits. Lipumba types. Mi nishaona Wazee wa Kibongo wakisimama mbele ya hawa wakubwa wenzao wa mataifa wanakuwa kama wamemwagiwa maji ya baridi. Wanaitikia tu. Ndio maana nawazimia Wanigeria, manake they don't give a rat's a$$ mbele ya Westerners.

Shushushu wa Kibongo, please! Bongo kuna ushushushu Ikulu inatumia domain za Yahoo.com ? Wale wakina dada wa nepotism waliojaa pale New York mission kuna uliyeona anafanana na ushushushu pale? Ushushushu wa ofisini kwao Kijitonyama na New York wapi na wapi?

And then save me with the "msomi" stuff, Ok! Nobody was more "msomi" than Pro. Mahallu, na Dr. Moses, na Dr. Ballali, and not to forget the illustrious A. J. Chenge, the famed "Harvard Lawyer." You got Dr. Moses allegedly hiring Kenyans at the Swedish mission na kujinunulisha majumba ya Serikali kinyume na taratibu. Prof. Mahallu na Dr. Ballali walichotutenda mpaka leo tunalia machozi!

Mzee,

ndiyo maana nikasema "career diplomat", na hata hapo ndiyo maana nikasema napata tabu kupata jina.
 
Career diplomat my foot!

Wakina Mahallu, Karume, Daraja, Marehemu Diria (na shutuma za kubeba madude), Moses (ambae allegedly kaajiri Wakenya Stockholm), Semfue (ambae kaajiri watu wanapokea simu hawajui Kiswahili pale DC mission) wote hawa ni career diplomats.

Lakini wanachemsha!!!
 
duh! yaani mabalozi wote wametokea kijitonyama! naona hiyo si kweli.

mahalu hakuwa career diplomat vivyo hivyo mahiga. wote wasomi
na wametofautiana sana katika heshima na mafanikio yao ya utendaji kama
mabalozi. pia wapo mabalozi ambao ni career diplomats ambao utendaji wao
umetofautiana wengine wamefanikiwa na wengine tofauti (naomba nisiulizwe mifano kwani vegezo vya mafanikio/kutofanikiwa vyaweza tofautiana). ninachotaka kusema ufanisi au kutofanikiwa kwa balozi kunatokana na mengi na si lazima u-career au kutokuwa career diplomat ukijitonyama au vinginevyo.

kwa mawazo yangu balozi manongi angefaa new york lakini ndo hivyo tena mkulu huyu tayari anamsaidia mama migiro.
 
Career diplomat my foot!

Wakina Mahallu, Karume, Daraja, Marehemu Diria (na shutuma za madude), Moses (ambae allegedly kaajiri Wakenya Stockholm), Semfue (ambae kaajiri watu wanapokea simu hawajui Kiswahili pale DC mission) wote hawa ni career diplomats.

Lakini wanachemsha!!!

Ukiwa na career diplomat wanaochemsha haina maana career diplomat wote wanachemsha.

Kama vile ukiwa na mapadre wa Roman Catholic wanao molest watoto haina maana kila padre wa RC ana molest watoto.

Vipi Mzee, logic iko wapi leo?

Logic apart, ni vigumu kuja na jina. I get a feeling that this is a case of "Wanaostahili hawajulikani, wanaojulikana hawastahili"
 
Career diplomat my foot!

Wakina Mahallu, Karume, Daraja, Marehemu Diria (na shutuma za madude), Moses (ambae allegedly kaajiri Wakenya Stockholm), Semfue (ambae kaajiri watu wanapokea simu hawajui Kiswahili pale DC mission) wote hawa ni career diplomats.

Lakini wanachemsha!!!

mkuu mahalu, moses sio ma career diplomats. ni wateuliwa tu.
 
duh! yaani mabalozi wote wametokea kijitonyama! naona hiyo si kweli.

mahalu hakuwa career diplomat vivyo hivyo mahiga. wote wasomi
na wametofautiana sana katika heshima na mafanikio yao ya utendaji kama
mabalozi. pia wapo mabalozi ambao ni career diplomats ambao utendaji wao
umetofautiana wengine wamefanikiwa na wengine tofauti (naomba nisiulizwe mifano kwani vegezo vya mafanikio/kutofanikiwa vyaweza tofautiana). ninachotaka kusema ufanisi au kutofanikiwa kwa balozi kunatokana na mengi na si lazima u-career au kutokuwa career diplomat ukijitonyama au vinginevyo.

kwa mawazo yangu balozi manongi angefaa new york lakini ndo hivyo tena mkulu huyu tayari anamsaidia mama migiro.

Unajua nilikuwa najaribu kulikumbuka hili jina lilikuwa limenitoka. Wangeweza kumtoa kwa Migiro na kumtafuta mtu mwingine pale.

Angalau anapaelewa UN, ana uzoefu wa kufanya na Mahiga pamoja na Migiro na (I know this is so low a standard, but it is not the only criteria) sijasikia baya lake.

Kumleta a complete beginner panaweza ku cost muda mrefu wa kuanza kujifunza deal za pale zinaendaje.
 
Unajua nilikuwa najaribu kulikumbuka hili jina lilikuwa limenitoka. Wangeweza kumtoa kwa Migiro na kumtafuta mtu mwingine pale.

Kuna watu kama Profesa Isaria Kimambo au Frederic Kaijage....hawa wanafaa sana kwani wamefanya kazi na UNESCO na mashirika mengine kama hayo....
 
wameshakula vya kutosha na kutuzalia nje vya kutosha::::::::::
 
Kuna watu kama Profesa Isaria Kimambo au Frederic Kaijage....hawa wanafaa sana kwani wamefanya kazi na UNESCO na mashirika mengine kama hayo....

LB,

Huyu Prof. Kimambo alikuwa UDSM pale? Amefanya vitu gani kwa taifa na dunia huko alikokuwa?
 
Kuna watu kama Profesa Isaria Kimambo au Frederic Kaijage....hawa wanafaa sana kwani wamefanya kazi na UNESCO na mashirika mengine kama hayo....

frederic kaijage ndio yule alikuwa ubalozini ubeligiji na sasa hivi yuko ikulu?
 
Back
Top Bottom