Mabalozi Waandamizi Warudi Nyumbani...

mkuu mahalu, moses sio ma career diplomats. ni wateuliwa tu.

Kafara,

Career diplomat manake nini?

Ni mtu aliyekuwa diplomat kipindi kirefu. Kwishne. Whether alianza kwa kuteuliwa au vinginevyo. (And the last time I checked hakuna diplomat anaepigiwa kura!!)

Huyu Moses katoka Ottawa kaenda Stochkolm, miaka kibao. Na kabla ya hapo nimewahi kusoma sehemu alikuwa balozi sehemu nyingine na kabla ya hapo alikuwa ofisa wa mambo ya nje Wizarani, foreign affairs (sina uhakika kwa hili). You don't get to be more "career diplomat" than that.

Mahalu nae background yake haikuwa diplomasia toka mtoto mchanga lakini alikuwa balozi miaka mingi tu.

Lakini, vyovyote vile unatakavyo amua ku define "career diplomat" point ninayomwambia huyu Pundit ni kwamba hawa kina Moses na Mahalu walikuwa mabalozi miaka mingi na bado wakaharibu! U-career diplomat, nsomile na ushushushu isiwe kigezo.
 
Lakini, vyovyote vile unatakavyo amua ku define "career diplomat" point ninayomwambia huyu Pundit ni kwamba hawa kina Moses na Mahalu walikuwa mabalozi miaka mingi na bado wakaharibu!

Na hiyo haisababishi wanadiplomasia wote wawe watu wa kuharibu tu.

Kama nilivyosema, just because there are some child molesters among Catholic priests, that does not make every Catholic priest a child molester.

Katika set ya career diplomats, kitu kimoja wanachojua ni diplomacy, sasa kama wala rushwa kama kina Mahalu (allegedly) hilo linatokea kwa watu wote hata wasio career diplomats.

Lakini huwezi kusema tusichague ma career diplomat, kwa sababu Mahalu (allegedly) ni career diplomat na (allegedly) ni mla rushwa, hakuna causality hapo.

Sana sana ukiacha kuchagua career diplomat utajikuta unaacha kuchagua watu wenye uwezo wa kidiplomasia.If one can make an argument kwamba wote ni corrupt, one can also make an argument kuwa ni bora tuchague career diplomat atakayejua kula kidiplomasia kuliko Makame Rashid ambaye sio tu atakwiba hela, bali pia ataenda kucheza na vimwana Las Vegas na kutusababishia aibu taifa.
 
Na hiyo haisababishi wanadiplomasia wote wawe watu wa kuharibu tu.

Kama nilivyosema, just because there are some child molesters among Catholic priests, that does not make every Catholic priest a child molester.

Lakini wewe umeniambia ni pick a Catholic priest as qualification for the job. Mimi nakwambia I have seen a Catholic priest humping on a boy who looks like baby Jesus.

Sasa kama unakubali kwamba any old Catholic priest from a store front church ain't no saint, then don't tell me to go pick a Catholic priest as a qualification for the job!! Unless y'all up on some dirty child scheme!

Kuwa career diplomat isiwe nongwa kwa sababu tumeona ma career diplomat wengi wakivurunda.
 
Kafara,

Career diplomat manake nini?

Ni mtu aliyekuwa diplomat kipindi kirefu. Kwishne. Whether alianza kwa kuteuliwa au vinginevyo. (And the last time I checked hakuna diplomat anaepigiwa kura!!)

Huyu Moses katoka Ottawa kaenda Stochkolm, miaka kibao. Na kabla ya hapo nimewahi kusoma sehemu alikuwa balozi sehemu nyingine na kabla ya hapo alikuwa ofisa wa mambo ya nje Wizarani, foreign affairs (sina uhakika kwa hili). You don't get to be more "career diplomat" than that.

Mahalu nae background yake haikuwa diplomasia toka mtoto mchanga lakini alikuwa balozi miaka mingi tu.

Lakini, vyovyote vile unatakavyo amua ku define "career diplomat" point ninayomwambia huyu Pundit ni kwamba hawa kina Moses na Mahalu walikuwa mabalozi miaka mingi na bado wakaharibu! U-career diplomat, nsomile na ushushushu isiwe kigezo.

kuhani,

ninavyofahamu mimi kuna mabalozi wa aina mbili.
1.wapo wale wanaoteuliwa na mkuu wa nchi kutoka sehemu yoyote ile iwe binafsi, serikali au shirika la umma. sifa kubwa ni raia wa nchi.

2. wapo wanaoteuliwa kwa kuwa wamepanda ngazi ya uofisa mambo ya nje na kufikia ngazi ya juu ambayo inahitaji uteuzi wa mkuu wa nchi. hawa ndio mimi nawaita mabalozi ambao pia ni career diplomats

wapo career diplomats ambao hawafikii ngazi ya ubalozi nao pia ni career diplomats.

mahalu, moses na mahiga sio career diplomats (japokuwa mahiga amepata fanya kazi ubalozini) wao wapo kundi la kwanza la mabalozi. habari ya ben moses kufanya mambo ya nje hiyo ni taarifa mpya sijawahi isikia. nijuavyo mimi ben moses alikuwa kilimo (nadhani ps) akaachia ngazi akaenda kupiga kitabu na kurudi baada ya miaka mitano hivi na akapewa u-ps.

nakubaliana nawe kwamba ufanisi wa balozi hautegemei u-career diplomat, usomi au ushushushu
 
Kinachotusumbua wote hapa ni mazoea..kwani Salim alienda Misri kuwa full balozi akiwa na miaka mingapi? you were right! 22! Si ni jamaa amekuwa na utumishi uliotukuka? Kuliko hata maprofesa akina Mahalu?

Mi nadhani lets not lose our focus kwa huu "uzoefu" criteria. Uzoefu wa akina Mahallu, Chenge et al, nk ndo umetufikisha hapa. Lets try others..kwani jamani mama Migiro kaenda kuwa deputy wa Ban K-Moon ana uzoefu gani? (no pun intended!)..mama kapiga chaki pale mlimani mpaka juzi tuu..kakaa foreign hardly a Year...sasa hivi yupo Tutle bay pale anapiga mzigo kama hana akili nzuri vile..and she has proved that she is capable! Unajua UN kuna bureaucrats wangapi? kuna watu pale wamekaa miaka zaidi ya 30 akina Brahimi, GAMBARI et al..hata mama Migiro hajaenda law school wakati wao wanaanza kazi...! lakini hiyo haimzuii kuwapa guidance.

My point is...hii criteria ya kapriensi....haitusaidii kabisa! sana sana tuweke vijana na watu wenye vision ambao wanajua nini maana ya economic diplomacy..ambao wanaweza kunegotiate terms za biashara ndo tuwapeleke huko...

By the way...UN hakuna big deal! "Anybody" can be..maana siyo sehemu strategic saaana kwetu sisi kama Tanzania..ni politics tuu za General Assembly ambako huko ni kama kilabu cha wote..kwenye biashara ni Security Council ambako wazee wanamalizana wao kwa wao bila akina third world! Umuhimu wa UN unatofautiana nchi kwa nchi..kwa US balozi wa UN ni cabinet level kwa sababu wao wana influence kubwa, so is China, Russia, France..lakini sio akina third world kwetu huku!

Infact to me Geneva is more strategic kuliko UN..maana kule kuna WTO (ambayo ni independent kwa UN) na huko ndo deal zinazotuhusu zinakofanyika..how my father will sell his coffee....Angalia agenda za UN..kila siku ni wakimbizi, njaa, AIDS, Malaria nk..well ni topic za muhimu..lakini ni kelele tuu hatuoni lolote..lets concetrate where the bread is...Mnafikiri kwanini sehemu kama World Bank, IMF, WTO..hawako ndani ya UN? kwa sababu wazungu wanajua..waafrika tutapiga kelele sana...Huko ndo tupige kele wapelekwe watu mahiri!

Yes, UN is important..but lets not lose a bigger picture of where we are supposed to wage our battle! Kama ni kazi UN..I doubt kama balozi wetu ana influence nani apate kazi pale...zaidi ya mtu kustruggle mwenyewe...
 
....one can also make an argument kuwa ni bora tuchague career diplomat atakayejua kula kidiplomasia kuliko Makame Rashid ambaye sio tu atakwiba hela, bali pia ataenda kucheza na vimwana Las Vegas na kutusababishia aibu taifa.

Ha ha ahaaaaa!

Foul, foul, foul!

Makame Rashid was off duty, and vimwana were of legal age!!!
 
Ha ha ahaaaaa!

Foul, foul, foul!

Makame Rashid was off duty, and vimwana were of legal age!!!

Makame Rashid anaweza kutinga on duty, full regalia na vimwana hata hajawauliza age.

Unamjua au unamsikia tu?
 
LB,

Huyu Prof. Kimambo alikuwa UDSM pale? Amefanya vitu gani kwa taifa na dunia huko alikokuwa?

Prof. Kimambo (ni profesa emeritus sasa) amefanya mengi sana katika kuliweka bara la Afrika katika medani za kimataifa....he served as a UNESCO member of International scientific committee for the drafting of a general history of Africa for nearly 30yrs....
 
...
Yes, UN is important..but lets not lose a bigger picture of where we are supposed to wage our battle! Kama ni kazi UN..I doubt kama balozi wetu ana influence nani apate kazi pale...zaidi ya mtu kustruggle mwenyewe...

nadhani kinachozungumzwa ni balozi wetu un na sio uwezo wa balozi ku-influence mtu kupata kazi un.
 
Mkuu Wangu Mwawado,

1. Heshima mbele sana, habari saafi lakini ya Mahiga haijakaaa sawa hebu icheki tena, maana najua anatakiwa kumaliza mkataba wake next year August, na kuna habari za kuongezewa iwapo atataka maana huko UN inasemekana hana mfano, au?

2. Halafu vipi huyo mkulu wa SA, maana the dataz ni kwamba kuna kijana mmoja wa kibongo pale SA ndiye aliyemfanyizia maana the dataz ni kwamba mkulu ana roho mbaya sana na kwamba ilikuwa plan ya watu wengi wabongo waliochoka na roho mbaya ya mkulu, kumpa kipigo vipi hizo nazo zikoje?

Otherwise heshima mbele, maana ninakuaminia kwa 100%!
 
Mabalozi Wanne Waandamizi wanarudi nyumbani baada ya muda wao wa kulitumikia Taifa aidha kustaafu kufika Kikomo.Mabalozi Emmanuel Mwambulukutu (South Africa),Ret.Maj.Gen Makame Rashid (Malawi),Dr.Ben Moses (Sweden) na Dr.Mahiga (U.N) wamemaliza muda wao na wanarudi nyumbani mwezi huu wa Novemba.

Kuna baadhi ya mabadiliko ya kawaida katika embassies nyingi na wizarani.Balozi capt.Abubakar Ibrahim pia anastaafu.Tusubiri Mabalozi wapya ambao watachaguliwa kuziba nafasi zitazokuwa wazi..
HIVI HAWA MABALOZI WASTAAFU WATARAJIWA WATAACHA RECORD GANI ZA PERFOMANCE ZAO? WENGI WAO HUWA WANAFANYWA MABALOZI WETU NCHI ZA NJE WAKATI WANAKARIBIA KUSTAAFU KAZI ZAO HAPA NCHINI. KWA MAANA INGINE NI KWAMBA MABALOZI WETU HUWA WANATEULIWA WAKATI WAKIWA WAMOCHOKA SANA NA WAKIWA NA MAWAZO FINYO KABISA. IT IS HIGH TIME WAPELEKWE MABALOZI VIJANA AMBAO NI DYNAMIC WANAOWEZA KULETA MAENDELEO YA KIUCHUMI HAPA NCHINI.
 
Unajua nilikuwa najaribu kulikumbuka hili jina lilikuwa limenitoka. Wangeweza kumtoa kwa Migiro na kumtafuta mtu mwingine pale.

Angalau anapaelewa UN, ana uzoefu wa kufanya na Mahiga pamoja na Migiro na (I know this is so low a standard, but it is not the only criteria) sijasikia baya lake.

Kumleta a complete beginner panaweza ku cost muda mrefu wa kuanza kujifunza deal za pale zinaendaje.
Tusubiri tu.chochote chaweza kutokea.
 
Mkuu Wangu Mwawado,. Heshima mbele sana, habari saafi lakini ya Mahiga haijakaaa sawa hebu icheki tena, maana najua anatakiwa kumaliza mkataba wake next year August, na kuna habari za kuongezewa iwapo atataka maana huko UN inasemekana hana mfano, au?

2. Halafu vipi huyo mkulu wa SA, maana the dataz ni kwamba kuna kijana mmoja wa kibongo pale SA ndiye aliyemfanyizia maana the dataz ni kwamba mkulu ana roho mbaya sana na kwamba ilikuwa plan ya watu wengi wabongo waliochoka na roho mbaya ya mkulu, kumpa kipigo vipi hizo nazo zikoje?

Otherwise heshima mbele, maana ninakuaminia kwa 100%!

Kama unavyosema mwenyewe Heshima Mbele Mkuu...
Ni kweli kwamba Dr.Mahiga amekuwa Muakilishi Mzuri na mtu aliyeijengea sifa kubwa Tanzania kutokana na Uongozi uliotukuka,Hakuna mtu asiyemfahamu Jamaa huyo si kwa utendaji wake kazi tu bali pia ni mcheshi na mkarimu kwa watu wa matabaka yote!!

Balozi Mahiga alichangia sana kupendekezwa kwa Mama Migiro kuwa Naibu katibu Mkuu wa UN.(Maelezo ya hili ni Nyeti kuyaweka wazi)

Mkuu naufahamu ukaribu wako na watu hawa wa Mount Vernon,kwa taarifa yako tu ni kwamba Dr.bado yupo New York kwa mkataba maalumu,kwani kipindi chake kilikwishaisha toka mwaka jana,kuna mambo yalikuwa yanahitaji usimamizi/uangalizi wake binafsi,kwa mujibu wa taarifa za MFA naye yupo kwenye orodha ya wastaafu wa Nov'08 Mabalozi ambao wameongezewa mkataba ni Balozi Elly Mtango (Japan) na Balozi Ali Karume (Italy).

Masuala ya Balozi Mwambulukutu bado yako kwenye Uchunguzi,hakuna uhakika wa dhati kwamba waliomuathibu ni Watanzania,kwani pia alikuwa na shughuli mbalimbali na watu/wenyeji wa huko (SA).Mzee Mwambulukutu alikwisharejea Tanzania.
 
Nadhani Dr. Mwakyembe anaweza kuwa mmojapo wa Ambassada mteuliwa... Ili watu wengine walale usingizi
 
Haya mambo ya utendaji mbovu hayana cha huyu kasomea nini.

Hao mabalozi bomu wanendeleza lile lile libeneke la Watanzania wasanii ambao wamejaa
kila nyanja kuanzia huko nyumbani mpaka nje.

Ukiwa mchapa kazi utafanikiwa tu kwenye kila kazi utakayopewa.

Mimi muda wote nakumbuka ya Mrema, walipomwondoa mambo ya ndani, watu wakasema kule wizara ya kazi ndio kafukiwa. Lakini Mrema kama Mrema hata kule alipata kazi za kufanya.

Hao mabalozi bomu hata uwapeleke kwenye maeneo gani, bado wataendelea kuwa mabomu tu.

Mimi nimekutana na Watanzania wengi wenye vyeo vikubwa nyumbani, hata unashangaa huyu Mkulu kafikaje hapa? Tuache ubabaishaji, tuchape kazi.

Kama huyo balozi wetu wa Ufaransa, hivi utampa kazi gani anayoweza kufanya? Alipokuwa UK, alikuwa anachemsha sijawahi kuona.
 
Francis Malambugi ni balozi mpya South Africa.

huyu mkulu ni mchapa kazi na mtu wa msimamo sana na si mbabaishaji
(hapendi longolongo).

hata hivyo wapo watu wanapopata ubalozi wa nchi (kwani wapo mabalozi
wakurugenzi) hubadilika na kuwa kitu ingine kabisa!

hongera balozi malambugi
 
Mkulu Kidatu,

Heshima mbele kaka, habari yako ina walakini maana ni sasa hivi ndio nimemaliza kuongea na Balozi Francis Malambugi, hana habari zozote za yeye kuchaguliwa kuwa balozi wetu SA, yeye bado ni Balozi Mkurugenzi wa Africa, pale Foreign,

Sasa either rekebisha habari yako au ukubali kuwa umekurupuka, kwangu binafsi a lesson learned.

Ahsante Mkuu.
 
Back
Top Bottom