Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 7,238
- 12,753
Kabla ya mwaka 2004 FIFA ilitaka mchezaji achezee timu ambayo yeye ni raia tu wa nchi hiyo.
Mwaka 2004 walibadili sheria. Mchezaji aliweza kuamua kuchezea timu ya taifa lolote alilotaka. Kilichotakiwa ni kuwa awe hakuwahi kucheza mechi za mashindano ya timu za taifa lingine.
Mwaka 2021 FIFA wakabadili tena kuwa hata kama mchezaji ni raia wa nchi nyingine, na amecheza mechi za kimashindano za nchi hiyo(Isipokuwa zinazohusisha Kombe la dunia na makombe ya mabala) anaweza kuamua kubadili na kuchezea nchi nyingine.
Sheria hii ndiyo imefanya timu nyingi za Africa kuwa bora sana. Ndiyo siri ya ubora wa DRC Congo na kuwa na mtu kama Theo Bangonda na kuwafurusha Misri. Ndiyo siri ya timu kama Cape Verde kuwa imara.
Hasara yetu. Huwa tunabania sana watu wakitaka passport kwenda nje. Kuna raia wachache sana nje wenye asili ya Tz. Imeturudia kututafuna.