Mabadiliko Baraza la Mawaziri: Doto Biteko ateuliwa kuwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati. Makamba Mambo ya Nje, Pindi Chana Katiba na Sheria...

Ni wazi mama anamuandaa kijana wao ili ampishe kiti cha Urais 2025

Hatagombea

Hawa watu wamejipanga wanata kijana wao akae kwenye wizara isiyo kuwa na heka heka Ili asichafuke isije kumuharibia kuelekea 2025

Ndio maana awamu hii wanataka wasaini mikataba yote mibovu kwasababu samia anajua hana cha kupoteza kwa kuwa 2025 anamuandaa kijana fulani

Watanganyika tujiandae kwa mateso mengine makubwa kuanzia 2025-2035

TANGANYIKA tulimkosea nini Mungu?
Acha woga
 
Conspiracy theories.....

Ain't true....

Sikia hili...

Mama yupo....tunaye in shaa Allah

Hao "vijana" watapambana na hali zao 2030 in shaa Allah

#SiempreJMT
 
hHapana, Majaliwa akitoka hapo au analamba mshiko wake mrefu, anafanya miradi yake na huku anakuwa mshauri tu.

Mafao na maisha ya waziri mkuu mstaafu Tanzania siyo ya kitoto.

Huyo bado ataendeelea kupata walinzi, ma dereva, magari mapya, tiketi za ndege, kula, kulala, heshima. mpaka kufa kwake au katiba ibadilike.

Hayatoka bado hivyo tusiende mbali. Nafikiri Raisi anataka msaada wa mtu wa kufuatilia miradi badala ya waziri mkuu. Raisi Samia hapendi sana kutembelea miradi na hawa watamsaidia
 
ACha kukariri kada wa ccm wewe, sekta ya nishati Ime mshinda 🙄.
👉Huko ikulu, si ata tuuza na sisi,🤔
Jpm ndo aliiharibu Ile sector kwa kupenda masifa ya mda mfupi bila kuangalia uchakavu wa vipuri, mitambo na vinginevyo. Jpm angeendelea kuwepo nchi IPO siku inheingia gizani mwaka mzima
 
Back
Top Bottom