Maaskofu kuachwa kutamba wapendavyo, watu Wa imani nyingine tunajifunza nini?

Kuna wawili wapo Bukoba, wawili wako Zanzibar, wawili wapo dar wamekuwa wakitoa matamko makali ya uchochezi na uvunjifu w Amani lakini wanatamba mitaani, hakuna Wa kuthubutu kuwagusa! Watu Wa imani nyingine tunajifunzanini katika hili??
Nenda katubu

Ova
 
Huyu Mzee kashindwa kuiunganisha nchi kwa hekima na amani anachochea na kukumbatia uhasama na hataki demokrasia ya kweli.refer madiwani Wa Arusha.mnyeti na gambo na rushwa sherehe za Arusha za kesho kuzileta mjini ili awapokee madiwani uchwara aliowahonga.ushahidi Wa nasari ukamuumbua .takukuru nao wakafanya yao. Akampandisha cheo mnyeti mtuhumiwa.kuwanunua wabunge ionekane anapendwa zote hizi anatakiwa kutubu.
 
Sheikh ponda alivyokamatwa, alifanya uchochezi gani

Ni kweli kabisa,ponda kutaka kuongea tu waka mkamata. Wagalatia watu wa ajabu sana.kinakakobe lulenge na shayo kila kukicha wanatoa matamko. kunahaja ya kuanzisha Intifada (انتفاضة intifāḍah) sasa
intifada-01-03-rgb-800.jpg
 
Kuna wawili wapo Bukoba, wawili wako Zanzibar, wawili wapo dar wamekuwa wakitoa matamko makali ya uchochezi na uvunjifu w Amani lakini wanatamba mitaani, hakuna Wa kuthubutu kuwagusa! Watu Wa imani nyingine tunajifunzanini katika hili??
we jamaa ni fala km jina lako.
 
Na kama sio uchochezi, kwa nn wanahangaika nae

Unawezaje tofautisha issue ya maaskofu na ya ponda

In short mtoa mada has a good point that many of us are just sitting quite watching, but our brains are working pretty good than they think.
ndio uko kwa ras simba unajifunza kuunga unga?
 
Hadi uhoji watu wa imani nyingine tunajifunza nini; ina maana hayo matamko yao ni dhidi ya watu wa imani zingine; au?!
 
Kuna wawili wapo Bukoba, wawili wako Zanzibar, wawili wapo dar wamekuwa wakitoa matamko makali ya uchochezi na uvunjifu w Amani lakini wanatamba mitaani, hakuna Wa kuthubutu kuwagusa! Watu Wa imani nyingine tunajifunzanini katika hili??
Maneno sio ya uvunjifu wa amani, lakini inatufundisha waislam hatuna akili , hatuna umoja, viongozi tulionao ni type ya akina faiza Foxy, Ritz unategemea nini,

Uchaguzi wa BAKWATA unasimamiwa na siri Kali, wapo wasomi waliobobea maswala ya dini, na maswala ya dunia, kuna ma- PhD kibao lakini kamwe hawawezi kuruhusiwa kuwa viongozi wa BAKWATA kwa maslahi ya waislam , pale wanatakiwa viongozi kwa maslahi ya sirikali,
Safari hii tunasema aliyepo juu ni mwenzao lakini hata tukiwa na mwenzetu pale juu haisaidii kitu, JK ndie aliyewasweka ndani mashekh wa Uamsho bila kuwafungulia mashtaka mpaka Leo.

Tutaendelea kudhalilika mpaka pale tutakapo rejea maandiko kua muislam ndugu yake ni muislam
 
Tulisha waambia ninyi waislamu pateni elimu dunia si ilimu akhera,ona sasa uharo wako!??
 
Watu wa imani nyingine mjue kuwa viongozi wa imani zenu ni wana CCM kindakindaki, hivyo hawawezi kuikosoa serikali ya ccm.
 
Tulipokusudia kuwasomeeni Ahul Al Badri moja tu mliwehuka. Wait for the next season ya kisomo. Mtamwagikana kabisaa

Tumieni hiyo mnayoiita albadri vizuri. Hamkusoma wakati nchi inawapa wazungu Dhahabu kwa bei ya bure mnaisoma kipindi mkibanwa mlipe Kodi?
 
Kuna wawili wapo Bukoba, wawili wako Zanzibar, wawili wapo dar wamekuwa wakitoa matamko makali ya uchochezi na uvunjifu w Amani lakini wanatamba mitaani, hakuna Wa kuthubutu kuwagusa! Watu Wa imani nyingine tunajifunzanini katika hili??

Wanatumwa na wafazili wao wazungu. Kipindi cha magufuli wazungu wamebanwa hawachukui Dhahabu bure
 
Back
Top Bottom