Maaskofu kuachwa kutamba wapendavyo, watu Wa imani nyingine tunajifunza nini?

Kansigo

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
2,670
2,156
Kuna wawili wapo Bukoba, wawili wako Zanzibar, wawili wapo dar wamekuwa wakitoa matamko makali ya uchochezi na uvunjifu w Amani lakini wanatamba mitaani, hakuna Wa kuthubutu kuwagusa! Watu Wa imani nyingine tunajifunzanini katika hili??
 
Tulipokusudia kuwasomeeni Ahul Al Badri moja tu mliwehuka. Wait for the next season ya kisomo. Mtamwagikana kabisaa
 
Kuna wawili wapo Bukoba, wawili wako Zanzibar, wawili wapo dar wamekuwa wakitoa matamko makali ya uchochezi na uvunjifu w Amani lakini wanatamba mitaani, hakuna Wa kuthubutu kuwagusa! Watu Wa imani nyingine tunajifunzanini katika hili??
Kwani kuna " imani" gani nyingine?!!!!!
 
Kuna wawili wapo Bukoba, wawili wako Zanzibar, wawili wapo dar wamekuwa wakitoa matamko makali ya uchochezi na uvunjifu w Amani lakini wanatamba mitaani, hakuna Wa kuthubutu kuwagusa! Watu Wa imani nyingine tunajifunzanini katika hili??
Hovyooooo
 
Nani amewaacha watambe?Where is the real freedom of speech?Mimi hapa nimekula balimi,nataka nitoe ushuzi wa ngomani.Is there any "polobulemu"?
 
Kuna wawili wapo Bukoba, wawili wako Zanzibar, wawili wapo dar wamekuwa wakitoa matamko makali ya uchochezi na uvunjifu w Amani lakini wanatamba mitaani, hakuna Wa kuthubutu kuwagusa! Watu Wa imani nyingine tunajifunzanini katika hili??

So na wewe utoe uchochezi tu
 
Wote ni wafuasi wa chama fulani ivyo usihangaike nao...tulia tu.
Naona kiki za 2017 chali mafuta yamemwagwa shimoni.Wakisifia hakuna uchama wakikosoa chama Fulani. Unaweza ukauwa vyama lkn huwezi uwa upinzani. Vipi wale wahamaji kuunga mkono bado wapo au ndo kiki zimebuma.Nani anahama wiki hii.
 
Back
Top Bottom