Maandamano ya wananchi kumuunga mkono Spika Ndugai

Niseme Kwa kifupi kwamba, Ndugai alitoa mawazo kuhusu mikopo ya nchi na tozo kuwakilisha kilio cha wananchi wengi, ila nasikitika kwamba ccm wameshinikiza ajiuzuru Kwa maslahi ya chama Chao...
Kwani mlikua wapi alipotibiwa India kwa yale mabilioni yapesa za walipa kodi?! Covid-19? Sakata la Mwambe na lile Lijuha-Likali?!
 
Ndio maana nasema hakuna wa kuthubutu!

Lisu tu alipokosa urais aliwambia wafuasi wake ingieni barabarani watu wakajificha uvunguni mpaka akaona bora akimbilie kwa amsterdam sembuse hili la selikali kushambulia bunge...
Yaani uandamane Ili Lisu awe Rais? Una kichaa? Kila mtu apambane kivyake.
 
Du mbona haueleweki sasa. Maana michango yako mingi unadai tutazame hoja ya Ndugai na tusiangalie maovu yake.

Hapa napo unatwambia Afrika inahitaji mtu imara kuliko taasis imara.

Kumbe bora kabisa Ndugai aondoke hana sofa za kuwa mtu /kiongozi imara.
I stand firm on sound principles,na sitayumbs.Yes Ndugai ana udhaifu kama binadamu,lakini kwa kuwa ana udhaifu haina maana kwamba sio strong leader.Hakuna binadamu perfect.Nirudie,hatuwezi kuwa a sustainable and strong government and nation,kama tunategemea mikopo.Na let's make no mistake about it,loans au hata grants zina alot of strings attached,na zina nia ovu.Ni zuzu tu anayeweza kuchekelea grant au loan.

Katika Covenant au Agano lao hawa watu wamesema wazi,
"We will take over their land, resources and wealth to exercise total
control over them.

We will deceive them into accepting laws that will steal the little

freedom they will have."

Sasa lipi tusilolijua mpaka tunahemkia loans na grants zao,na kipi Ndugai kaongea kibaya ikiwa hao wanao tupa mikopo wamesema wazi watachukua ardhi yetu na rasilimali zetu,obviously tukishindwa kulipa grants na mikopo yao.Ni kama viongozi wanatumiwa ku-sabotage our country au ni mazuzu,hawajui kinachoendelea.
Let me be clear,to me kiongozi yeyote anatetea mikopo ana commit treason!
 
Akili yako ni fupi so kama yy sio wakwanza , anavyoongezea hayo madeni atakuja kulipa nan ? Ndo maana ya Ndugai , tunadaiwa deni kubwa na limetuelemea ila bado tunaenda kukopa , unahis nini hatima yakee?
Wewe ndio akili yako fupi mnoo. Hiyo miradi iliyoanzishwa ya matrilions inatamalizwa vipi ? Kwa pesa gani ? Bajeti ya nchi tu huwa haitoshelezi.

Ndio maana mtangulizi wake alikua anakopa kufanya hiyo miradi tena mikopo ya kibiashara, mnataka mama asikope kuiendeleza hiyo miradi ili mseme ilifia mikononi mwake.

Cha muhimu kabla ya kukopa ni calculations na akili zitumike. Mikopo sio shida ,shida unakopa kufanyia nini na je utalipaje na kwa utaratibu gani . Pesa zetu za ndani hazitoshelezi na miradi Ni ya pesa ndeefu maana yake tusimamishe shughuli nyingine ili hiyo miradi ifanyike.
 
Niseme Kwa kifupi kwamba, Ndugai alitoa mawazo kuhusu mikopo ya nchi na tozo kuwakilisha kilio cha wananchi wengi, ila nasikitika kwamba ccm wameshinikiza ajiuzuru Kwa maslahi ya chama Chao...
Yaani wanaacha kujiuzuru kwa Mambo yao mabaya dhidi ya wananchi....eti wanajiuzuru kisa vijembe vijembe vya mkubwa
 
I stand firm on sound principles.Kwamba Ndugai ana udhaifu kama binadamu ni kweli,lakini kwamba binadamu ana udhaifu haina maana kwamba sio strong leader.Hakuna binadamu perfect...
Ni sawa kila binadamu ana mapungufu ya kibinadamu, lakini kwa Job si mapungufu ya kibinadamu bali ni maovu ya kinyama ya maksudi, ubabe, ubedui, na mbaya zaidi matumizi mabaya ya ofisi. Unataka tukuwekee matendo yake au we hauishi nchini? Au wewe ni ndugu yake?

Hakuna taifa linalopenda kuishi kwa kutegemea mikopo,bali Hali ya utoshelevu wa bajeti Ndiyo huwa msukumo wa kukopa.

Lakini pia karibia nchi zote duniani huwa zinakopa. Mjadala wetu ubaki kuwa mkopo huo una masharti gani na katika hili Samia amefanya vizuri Sana maana masharti ya mkopo wake yako wazi na nafuu kuliko awamu zote.
 
Ni sawa kila binadamu ana mapungufu ya kibinadamu, lakini kwa Job si mapungufu ya kibinadamu bali ni maovu ya kinyama ya maksudi, ubabe, ubedui, na mbaya zaidi matumizi mabaya ya ofisi. Unataka tukuwekee matendo yake au we hauishi nchini? Au wewe ni ndugu yake...
I stand firm on sound principles,na sitayumbs.Yes Ndugai ana udhaifu kama binadamu,lakini kwa kuwa ana udhaifu haina maana kwamba sio strong leader.

Hakuna binadamu perfect.Nirudie,hatuwezi kuwa a sustainable and strong government and nation,kama tunategemea mikopo.Na let's make no mistake about it,loans au hata grants zina alot of strings attached,na zina nia ovu.Ni zuzu tu anayeweza kuchekelea grant au loan.

Katika Covenant au Agano lao hawa watu wamesema wazi,
"We will take over their land, resources and wealth to exercise total
control over them.

We will deceive them into accepting laws that will steal the little

freedom they will have."

Sasa lipi tusilolijua mpaka tunahemkia loans na grants zao,na kipi Ndugai kaongea kibaya ikiwa hao wanao tupa mikopo wamesema wazi watachukua ardhi yetu na rasilimali zetu,obviously tukishindwa kulipa grants na mikopo yao.Ni kama viongozi wanatumiwa ku-sabotage our country au ni mazuzu,hawajui kinachoendelea.

Let me be clear,to me kiongozi yeyote anatetea mikopo ana commit treason!
 
Nimeipenda hoja ya tuandamane kumuunga mkono ndugai kwa lipi? hoja yake kwamba nchi itapigwa mnada au ya kuomba radhi au ya kujiuzuru kwa hiyari yake kama alivyo tujuza? Mi dhani hoja ya sasa iwe tunahitaji spika bora na si bora spika..
 
Ni sawa kila binadamu ana mapungufu ya kibinadamu, lakini kwa Job si mapungufu ya kibinadamu bali ni maovu ya kinyama ya maksudi, ubabe, ubedui, na mbaya zaidi matumizi mabaya ya ofisi. Unataka tukuwekee matendo yake au we hauishi nchini? Au wewe ni ndugu yake...
👉Hakuna taifa linalopenda kuishi kwa kutegemea mikopo,bali Hali ya utoshelevu wa bajeti Ndiyo huwa msukumo wa kukopa👈Hii sio kweli,this is "delusional psycosis." Mabeberu wametuamisha hivyo ili watuibie.We must wake up.Either tunatumiwa na mabeberu au tu mazuzu.Europe au America haina resources kama Afrika,kwa nini sisi tusiwakopeshe,tukope kwao?Wake up brother,you are sick in your upstairs.
 
Hivyo watanzania ni vyema tukaandamana kumuunga mkono Mh Ndugai Kwa uthubutu ule wa kuweza kuzungumzia matatizo ya wananchi wa hali ya chini, Pia kuwapa moyo watu wengine wenye mawazo mbadala kuzungumzia matatizo ya wananchi wa hali ya chini
Unaandamana ukiwa nyuma ya keyboard?
Chagueni spika wenu halafu apingane na mbowe hadharani kama mtaona amesalimika
 
Ngoja tukuelimishe inshu sio Ndugai bali inshu nini maana ya alichofanyiwa Ndugai ? kinachopingwa ni ile hali rais kuwa kiziwi hataki ashauliwe yaani anatuingiza kwenye mfumo wa ufalme akiamka anajiamulia ajisikiavyo hilo ndo kosa kubwa , amini nina kuambia leo kafanyiwa Ndugai ila tabia inakomaa hapa tunapinga huu ukandamizaji wa uhuru wa maoni , sijaona kosa la Ndugai maana yy ni mbunge na pia ni raia km ww so ana haki ya kutoa mitizamo yake mahala popote pale
Hahaha tatizo wewe ume-concentrate na ile clip ya juzi ya Ndugai. We kwa akili yako unafikiri Ndugai hajui umuhimu wa mikopo ? Tena iliyopitishwa bungeni na yeye akiwa Kama spika ?

Ile kauli ya Ndugai ilikua Ni personal attack kwenda kwa rais samia. Issue Wala sio mikopo ana ajenda zake tu mbona mambo yako wazi.

Kwa Awamu hii ya sita ukisema uhuru wa kutoa maoni hakuna watu watakushangaa Sana.
Huyo Ndugai kanywimwa vipi uhuru wa kutoa maoni. Huyo kawajibishwa amekiuka miiko ya chama chake.
 
👉Hakuna taifa linalopenda kuishi kwa kutegemea mikopo,bali Hali ya utoshelevu wa bajeti Ndiyo huwa msukumo wa kukopa👈Hii sio kweli,this is "delusional psycosis." Mabeberu wametuamisha hivyo ili watuibie.We must wake up.Either tunatumiwa na mabeberu au tu mazuzu.Europe au America haina resources kama Afrika,kwa nini sisi tusiwakopeshe,tukope kwao?Wake up brother,you are sick in your upstairs.
Nilijua una logic ya maana kumbe la hasha, unabaki na ngonjera nadharia makaratasi za akina Kabudi za kuwaaminisha mambo yasiyo na kichwa wala miguuu.

1. Kwamba unakataa kuwa ulaya nchi zao hazikopi kwa kuwa tanzania hatujawakopesha. Hapa una tatizo.

2. Kwa taarifa zipo nchi za Afrika zimekopesha mataifa ya bara hilo na nje ya bara.

3. Ama kuhusu sisi kuwakopesha na rasilimali Ndiyo maana ya kukopa kujenga miundombinu ya kujenga uchumi kwani hata wao hao unaodai mabeberu (huku ukilinga na elimu yao) walianza kujenga miundombinu.

4. Acheni hizi Tabia za kishamba za kina Kabudi za kutumia majina ya kubagaza watu ktk karne hii ambayo hauwezi kuishi bila kutegemeana wakati uhalisia wa bajeti yako haijafikia kujitosheleza. Nipe nchi tano zenye uchumi mzuri ambazo hazijakopa huko ulaya, amerika hata Afrika.
 
Aisee,wewe ni wa kuhurumiwa, ni wa kuacha.Uko kwenye hatua mbaya ya delusional psycosis,I can't help you.Good bye.
 
Wewe ndio msengelema,una akili ndogo kama sisimizi,nakuonyesha Ili uelewe kwamba hata huko Duniani kuna mfumuko wa bei tena kwenye Nchi ambazo sio common.

Hii itakusaidia kuelewa na kuacha upunguani wako WA kudhani Samia kaleta mfumuko was bei..

Mwisho kabisa tushawanyoa sukuma gang kwa hiyo tulizeni makalio na kuwashwa.
Wewe matumizi ya chupa za mirinda yamekuharibu pande zote mpaka na akili. Kwanza sikuwahi kuwa shabiki wa mwendazake hivyo uwe unaongea vitu vilivyo na akili. Hapo kuna nchi zina mfuniko wa bei kutokana na marekebisho kwenye Sheria zao za kodi, kwa mfano Uturuki ni kwamba ilikuwa na covid kwa kiasi kikubwa zaidi ya nchi nyingine? Jifunze kutumia akili na siyo Tigo kama unavyoonesha hapa.
 
Hoja yako ni strong sana ila watu akili imefocus kweny personal profile ya Ndugai na sio defition ya kilichotokea kwa Ndugai ambacho ni kiashiria cha ukandamizaj wa uhuru wa maoni , leo kwa Ndugai na hii itakomaa na kuhamia kwa mwingine awe ccm au upinzani ila amini itatokea tena
Ndugai ndiyo alikuwa kinara wa ukandamizaji kwenye kipengele cha uhuru wa maoni, let him feel how it feels.
 
Back
Top Bottom