Mzalendo JR
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 1,193
- 515
Ukiwatazama kwa umakini ni kama wanatafuna maji vile, ni kwamba yale maandamano ya Mwanza kulikua na Ngonjera, mashairi na maigizo. Kama ilivyo kawaida umati ulikua wa kuokoteza wakiwa takribani 150 hivi kama mtakavyotazama picha zake, kulikua na kikundi kilichoandaa kuigiza, kingine nginjera( Wakanikumbusha MUUNGANO P/S Mbeya hiyo darasa la tatu). Pia wazee waliotaka kujikumbusha enzi za malenga wetu (Redio Tanzania) walikua na shairi lao.
Kama ulitazama taarifa za habari jana kuna TV ilionyesha kwa styl fulani kukwepa kuona kikundi cha watu 150 kupinga huduma za hosipitali zisiboreshwe na kuendelea kulala 1 by 4 (Yaani kitanda kimoja wagonjwa wanne). Halafu maandamano yale yangekua na tija basi ningetarajia kuona mchanganyiko wa Watanzania tofauti na kikundi cha fulana za Kijani tu na Kanga zilizoisha kwa maisha magumu ya ngwe hii ya JK (JUA KALI).
Nilitazamia watoto wale waliokusanywa na kukaririshwa igizo lile wangetumia muda ule kujiendeleza kielimu kuliko kupoteza their valuable time 4 Idiotic dramaz........ Haya tazama kuanzia Aerial pic na nyingine, huyu dogo mwenye Tshirt nyekundu alikua akiigiza na TOMATO kuchafua sketi yake.......
JK (JUA KALI) THE HOME OF DRAMA