Maandamano ya mwanza kuhusu madaktari jana kumbe alikutana kuigiza, kuimba ushairi na ngonjera

Sasa nasikia kasheshe ilizuka baadae ofisi za CCM Nyamagana kwenye posho maana waliahidiwa hiyo posho na wengi hawakupewa.
walizomewa sana na kdri walivyokuwa wanaenda watu walikuwa wanapungua hadi wakabakia hao kiduchu, kama wanavyopungua humu jamvini
 
Swala la madaktari kudahi haki limefanyiwa kila mamna sasa limekuwa la kisiasa na la kichama sasa.Tusimame tujenga Tz na tuachane na propaganda za vyama jani.Mzaha mzaha yatatukuta ya hoko Somali na kwingineko,mtu hata kama yupo sahii inaonekana kumkubali ni kushusha chama chako kisiasa kwahiyo bora kupinga liwalo na liwe.
 
Waacheni vipofu waongozane. Lakini swali la kujiuliza ni hili, baada ya tamko la raisi kuwakaba madaktari, Je wapinzani (CHADEMA, CUF, NCCR n.k.), na vikundi vingine vinavyopigania maisha bora ya Mtanzania, kwa nini hawakuandaa maandamano kupinga kauli ya JK na kuwaunga mkono madaktari? Ni nani anayefikiri madaktari bila ya msaada wa wananchi wataweza kushindana na JK na serikali yake? Wako wapi akina Slaa, Mbowe, Zitto n.k? Huu ndio ungekuwa wakati wa kuwaunganisha wafanyakazi na wananchi kwa ujumla kuipinga serikali yao.
 
Waliona heri watumie udhaifu huo wa serikali ktk mgomo wa madaktari kupima hali ya kisiasa hapo Mwanza, waliipata fresh yao. Hakuna watu hadi wakaanzisha ngonjera, maigizo, mashairi, yote ya nini kwenye maandamano??? ni hotuba tu wala huhitaji msaniii kwenye mambo ya UKWELI.
 
Hivi nyie gwandaz,mbona mnapiga vita watu waolio against na mgomo wa madaktari, watanzania watakuja kujua tu ukweli. Mnajifanya mnapigania wanyonge kumbe mnashabikia hao wanyonge kufa na kuteseka.
 
Waacheni vipofu waongozane. Lakini swali la kujiuliza ni hili, baada ya tamko la raisi kuwakaba madaktari, Je wapinzani (CHADEMA, CUF, NCCR n.k.), na vikundi vingine vinavyopigania maisha bora ya Mtanzania, kwa nini hawakuandaa maandamano kupinga kauli ya JK na kuwaunga mkono madaktari? Ni nani anayefikiri madaktari bila ya msaada wa wananchi wataweza kushindana na JK na serikali yake? Wako wapi akina Slaa, Mbowe, Zitto n.k? Huu ndio ungekuwa wakati wa kuwaunganisha wafanyakazi na wananchi kwa ujumla kuipinga serikali yao.

Hili ni neno la KISHUJAA .......CDM tuko pamoja?
 
Hivi nyie gwandaz,mbona mnapiga vita watu waolio against na mgomo wa madaktari, watanzania watakuja kujua tu ukweli. Mnajifanya mnapigania wanyonge kumbe mnashabikia hao wanyonge kufa na kuteseka.

Ama kweli wewe ni kupe, ni wangapi wanakufa kwa kukosa vifaa hospitalini? Mazingira ya wazazi kulala wa4 kitanda ki1 je? .......
Hujui kinachodaiwa wala kuzungumzwa c lazima kuchangia, nyamaza bana ona sasa umetapika.
 
Back
Top Bottom