Maandamano ya mwanza kuhusu madaktari jana kumbe alikutana kuigiza, kuimba ushairi na ngonjera

Mzalendo JR

JF-Expert Member
Jun 6, 2012
1,193
515
Ukiwatazama kwa umakini ni kama wanatafuna maji vile, ni kwamba yale maandamano ya Mwanza kulikua na Ngonjera, mashairi na maigizo. Kama ilivyo kawaida umati ulikua wa kuokoteza wakiwa takribani 150 hivi kama mtakavyotazama picha zake, kulikua na kikundi kilichoandaa kuigiza, kingine nginjera( Wakanikumbusha MUUNGANO P/S Mbeya hiyo darasa la tatu). Pia wazee waliotaka kujikumbusha enzi za malenga wetu (Redio Tanzania) walikua na shairi lao.

Kama ulitazama taarifa za habari jana kuna TV ilionyesha kwa styl fulani kukwepa kuona kikundi cha watu 150 kupinga huduma za hosipitali zisiboreshwe na kuendelea kulala 1 by 4 (Yaani kitanda kimoja wagonjwa wanne). Halafu maandamano yale yangekua na tija basi ningetarajia kuona mchanganyiko wa Watanzania tofauti na kikundi cha fulana za Kijani tu na Kanga zilizoisha kwa maisha magumu ya ngwe hii ya JK (JUA KALI).

Nilitazamia watoto wale waliokusanywa na kukaririshwa igizo lile wangetumia muda ule kujiendeleza kielimu kuliko kupoteza their valuable time 4 Idiotic dramaz........ Haya tazama kuanzia Aerial pic na nyingine, huyu dogo mwenye Tshirt nyekundu alikua akiigiza na TOMATO kuchafua sketi yake.......

JK (JUA KALI) THE HOME OF DRAMA
 

Attachments

  • 8373688_orig.jpg
    8373688_orig.jpg
    97.6 KB · Views: 206
  • 9313802.jpg
    9313802.jpg
    22.5 KB · Views: 252
  • 5238453_orig.jpg
    5238453_orig.jpg
    71.3 KB · Views: 172
  • 7155771_orig.jpg
    7155771_orig.jpg
    67.4 KB · Views: 151
Aisee unadhalilisha matikiti maji! wacha haki ya Mungu kunikashifia!

Mkuu unaweza kushiba matikiti maji, kiazi mkuu watu wa Iringa tunakiheshimu sana matikiti maji tunawapa wanyama wale si chakula cha binadam!
 
Kaaya anaendeleza siasa za meru Mwanza!Kaza buti baba Dogo janja anawakilisha vema na umri wake unamruhusu kwenda vipindi 6 zaidi upo hapo?
 
Mkuu unaweza kushiba matikiti maji, kiazi mkuu watu wa Iringa tunakiheshimu sana matikiti maji tunawapa wanyama wale si chakula cha binadam!

Na sii wasukuma viazi tuna vihshimu sana kwa hiyo hao walio andamana hawawezi kufanani na viazi labda mavi...lakini kufanan na matoborwa, michembe nooooooooooooooooooooooooo
 
Wanaintelejensia walikuwa wapi? waliruhusu vipi wakati kungekuwa na Al shababu, nchi hii inavihoja vingi
 
Kikwete my presidar! Kha! Nitakumisijeeeeeeeee? Una vituko wewe!
 
Back
Top Bottom