Kagemro
JF-Expert Member
- Jan 11, 2010
- 1,433
- 633
Acha hizo Pinda mpaka ameona aibu,na watu walibebwa toka vijijini mimi nilikuwapo sikuhadithiwa?aliongea kama machozi yanamlenga,lazima tukubali CCM imelazwa chali.Pinda mbona kafunika kagera?
Acha hizo Pinda mpaka ameona aibu,na watu walibebwa toka vijijini mimi nilikuwapo sikuhadithiwa?aliongea kama machozi yanamlenga,lazima tukubali CCM imelazwa chali.Pinda mbona kafunika kagera?
KWANI WEWE ULITAKA UONE MAJINI!nmbona watu wa kawaida?
leta picha mkuuupinda mbona kafunika kagera?
mbona watu wa kawaida?
Mbona wanahesabika halafu ukiangalia hivi vikongwe sidhan kama vitapiga kura 2015 ina maana kufikia 2020 CCM itakuwa imefutika na kuja chama cha kizazi kipya cha DOT.COM au CDM.haya ni mapokezi ya kagera wanachama wana kadi za chama chao
haya ni mapokezi ya kagera wanachama wana kadi za chama chao
Pinda mbona kafunika kagera?[/QUOTE]
hata aibu huna lione, kafunika wapi mie nilikuwepo hamna watu wala nini, tuwekee picha za kufunuka. Zaidizaidi vilikuwepo vimbuzi vinachezacheza kwenye sanamu ya Mjeshi.
Hizo kadi mpya, waligaiwa walipokuwa kwenye Lori wanaletwa uwanjani. Halafu mbona nyuso zao hazina hamasa?
mbona watu wa kawaida?
mbona picha zenyewe hazionekani? Tuma tena.
Your statement is too general,please be specific!!hivi jamani humu jf kweli kunawatuwanajitambua kweli maaana siwa elewi
haya ni mapokezi ya kagera wanachama wana kadi za chama chao
Idadi ya waandamanaji Mwanza, Kagera na Musoma nimeiona. Ni ya kawaida tu. Haipishani sana na idadi ya watu waliokuwa wanajitokeza katika mikutano ya kampeni ya DR SLAA. Na ukweli wa wazi ni kwamba idadi hiyo haifikii hata idadi ya asilimia kumi ya wakazi wote wa miji husika. Ni ukweli usiopingika kwamba watu wa vyama vingine wakiitisha maandamano au mikutano yao wanaweza kupata idadi hiyo hiyo pungufu au zaidi. Ni ukweli pia kama ingepigwa kura ya watu wanapinga maandamano ya aina hiyo watu wengi wangejitokeza kuyapinga. Ninachomaanisha hapa ni kwamba idadi ya watu waliyojitokeza katika maandamano ya Chadema hayawezi kuwa kielelezo kwamba watanzania wengi hawaipendi serikali iliyopo madarakani. Bali inaweza kuwa kielelezo kwamba wapo watanzania wasiopenda serikali iliyopo madarakani. Na hilo halina ubishi maana kuna zaidi ya asilimia 30 waliowapigia kura wapinzani.
Mimi nadhani sio sahihi hata kidogo kuyatumia maandamano ya watu chini ya asilimia kumi ya watanzania kuhalalisha kwamba nguvu ya umma haiitaki serikali. Tumejaribu kufanya hilo kwa kura tukathibitisha tofauti. Tujaribu tena mwaka 2011. Vinginevyo tujaribu kwa kutumia Bunge kwa njia halali zinazokubalika kikatiba.
hivi kura za hao watoto wanaoonekana hapa huwa zinahesabiwa pia?...kwa kweli kwa kura hizi Slaa ni rais wa........