Maandamano ya CCM kwenda ubalozi wa uingereza!

JokaKuu

Platinum Member
Jul 31, 2006
30,487
55,107
..mtu wangu wa karibu ndani ya CCM amenieleza kuwa wanapanga maandamano hapa Dar kwenda ubalozi wa Uingereza.

..wanataka kushinikiza kwamba serikali ya CCM ipewe "change" iliyozidi ktk mauzo ya rada.

..maandamano hayo yataongozwa na NAPE,ANDREW CHENGE,na DR.IDRIS RASHID.
 
huyu naye atakuwemo
Mwenyekiti wa CCM kijiji cha Miwaleni Kilindi akielekea kwenye sherehe za kumpongeza BEATRICE kuchaguliwa kuwa mbunge
attachment.php
 
Wasituboe hapa mbona wakati mama Claire Short alipojiudhuru kuhusiana na jambo hili hawakuunga mkono wakienda wahakikishe na Vithlan anakamatwa mara moja na change alizopewa Chenge zinarudishwa toka kisiwani
 
..mtu wangu wa karibu ndani ya CCM amenieleza kuwa wanapanga maandamano hapa Dar kwenda ubalozi wa Uingereza.

..wanataka kushinikiza kwamba serikali ya CCM ipewe "change" iliyozidi ktk mauzo ya rada.

..maandamano hayo yataongozwa na NAPE,ANDREW CHENGE,na DR.IDRIS RASHID.

ROSTAM AZIZ umemsahau kwani ndiye atakayesoma risala
 
huyu naye atakuwemo
Mwenyekiti wa CCM kijiji cha Miwaleni Kilindi akielekea kwenye sherehe za kumpongeza BEATRICE kuchaguliwa kuwa mbunge
attachment.php
MALARIA SUGU akielekea kwenye mkutano wa Nape huko Mtwara, picha by jeykey wa ukweli
 
Kilikuwa kituko cha karne Chenge alipoulizwa na makachero wa Uingereza kuwa US$5000,000 alizomlipa Idrisa Rashid zilikuwa za kazi gani alisema eti alimpa kama mkopo akaulizwa yeye kama mwanasheria mzoefu aliwezaje kumkopeshb hela zote hizo bila maandishi mzee wa kisukuma akasema mbona hivyo ni vijisenti tu!.
Kumbe hapo awali bila Chenge kujua awalisha mhoji Rashid akawambia zilikuwa za kununua fenicha lakini alipotakiwa aonyeshe risiti za fenicha au fenicha zenyewe akaruka kimanga
 
Vipi tena CCM! Si mnasema maandamano ni kitu kibaya, huleta vurugu na uvunjifu wa amani and all that nonsesnse according to makada wenu?
 
wanaandamania kwa mabo ya ujinga kabisa, ukiwaambia wakaandamane kukemea ufisadi unaoangamiza tifa hakuna anaejitokeza , sijui haya majitu yanalaana yakuzaliwa, ccm imejaa watu mamluki dhidi ya Taifalao...!
tazama PIC chini, hakuuna anaeweza kuandamana kupinga hali mbaya kama hizi kwa mama zetu
260083_1602090270868_1794432560_1049905_5902618_n.jpg
 
Kilikuwa kituko cha karne Chenge alipoulizwa na makachero wa Uingereza kuwa
US$5000,000 alizomlipa Idrisa Rashid zilikuwa za kazi gani alisema eti alimpa kama mkopo akaulizwa yeye
kama mwanasheria mzoefu aliwezaje kumkopeshb hela zote hizo bila maandishi mzee wa kisukuma akasema
mbona hivyo ni vijisenti tu!.
Kumbe hapo awali bila Chenge kujua awalisha mhoji Rashid akawambia zilikuwa za kununua fenicha lakini
alipotakiwa aonyeshe risiti za fenicha au fenicha zenyewe akaruka kimanga

Hapo kwenye RED unaweza kufafanua, ni kiasi gani hicho?
 
Yani waibe wao halafu waandamane kudai chench!! Kwa kweli litakua jambo la kihistoria tanzania na dunia nzima
 
Yani waibe wao halafu waandamane kudai chench!! Kwa kweli litakua jambo la kihistoria tanzania na dunia nzima

It is possible. Hayo yanaweza kufanyika chini ya Balozi Peter Kallaghe, ambaye alikuwa mkurugenzi wa mawasiliano ikulu kabla hajampisha S. Rweyemamu. He is very loyal to the system, sina hakika kama anarudisha fadhila or he just believe deeply in CCM.
 
Ni ubalozi wa UK hapa dar au ubalozi wa Tz huko uk? Kama ni hapa dar basi yaandaliwe maandamano mengine kupinga serikali ya magamba kupewa hizo hela. Na kwa kutumia wingi wa maandamano yapi wingereza iamue hela ziende wapi kwa kujali wengi wape.

Magamba wananjaa kali ya hela sasa hivi na wakipewa akyanani zinaishia kwenye kulipa madeni wanayokopa sasa hivi kuendeshea serikali.
 
..mtu wangu wa karibu ndani ya CCM amenieleza kuwa wanapanga maandamano hapa Dar kwenda ubalozi wa Uingereza.

..wanataka kushinikiza kwamba serikali ya CCM ipewe "change" iliyozidi ktk mauzo ya rada.

..maandamano hayo yataongozwa na NAPE,ANDREW CHENGE,na DR.IDRIS RASHID.

Jamani masuala mengine siyo kila mara yawe ya kisiasa. kweli kabisa makosa makubwa na wizi unaonekana ulifanyika kwa msaada wa watanzania wachache, makosa yalifanyika, lakini sasa taifa mbele ndugu zangu, hizi pesa ni change yetu sisi watanzania na siyo ya ccm, kwani siyo chama kilichonunua Rada, pesa zile zikirudishwa si za kufungulia matawi ya chama cha ccm. Ningeshauri kwa pamoja tuunge mkono harakati za kurejesha change iliyobakizwa na mafisadi.
 
Back
Top Bottom