Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,376
- 54,807
.
Mimi nimefarijika kuona uwepo wao tu .. na imenipa hamasa, ila wewe kama umeshaanza kutoa kasoro ndogondogo kama hizo ntakuwa sijakosea nikisema haupo upande wa waandamanaji.
Idiot! Kwani leo si ndio 26/4? Mlidai nchi haitakalika! Wapi! Watanzania hawaendeshwi na hisia za kahaba kuadhimisha siku ya baba yake kulawitiwa!! Ha ha ha ha!Hajafeli mkuu. Usione watu hawako barabarani ukafikiri hakuna kitu. Ogopa sana hali hiyo. Mie naona kaweza kitu flani hivi ndio maana wakuu wote wame pay attantion sana. Siyo bure na tusidharau mioyo ya watu. Dont undermine this has an unseen impact time will tell.
Duh, tuache kujibaraguza. Leo tumeangukia pua aisee.Leo nilikuwa napita mitaani kwa kicheko kiduchu jinsi police walivyokuwa busy na maandamano.
Kweli mkuu, today demons failure has lowered incentives for stupid mass demonstration in near future.mkuu, kuna analysis nyingi sana
mange kafuta maandamano yote yajayo pia!!
Wacha tuwanyooshe tu, na kaponza familia yake pia!!Tunakujua kuwa wewe ni mmoja wa wale wasiojulikana sasa kwa post hii ndio umejitokeza kabisa bila kujua kwanini ulikuwa unataka uwaone sura zao hao waandamanaji!! Hata hivyo kama anavyopenda kusema mwenyewe NGOSHA ujumbe umemfikia"message sent and delivered"
hawajalinganishwa watu, yamelinganishwa mawazo yao na target je? shilingi imeporomoka ama laah.Osama Vs Mange hawa ni watu wawili tofauti kabisa wala huwezi kuwalinganisha
Yamefanyika huko kijijini kwako? Au ulikuwa chumbani unaandamanaKwa tarifa yako CHADEMA wamehusika sana kuratibu haya maandamano nyuma ya PAZIA...Kukuthibitishia hili rejea twiter ya msigwa
Mimi ni mwananchi Ila sijakutuma kunisemea, heshimu mawazo yangu.Ukweli mchungu...
Wapinzani mkubali tu rais Magufuli kawashika sehemu mbaya mno. Its a time to let him be na wananchi wanamuelewa mno. Maana ingekuwa rais hakubaliki ukweli mchungu tungeona hata rasharasha kwenye mikoa ya Arusha na Mbeya ambapo ufipa wanapaona ni nyumbani, Nasema haya.
Hakuna siku tuliowachache tulitegemea viongozi wa upinzani mngempa sapoti huyo mwenyekiti wenu mpya(Mange) kuhoji mahali trilioni 1.5 zilipo kama leo. Kwa kuingia barabarani. Rejea twitter ya Msigwa kuhusu haya maandamano
Hakuna siku wale wafia upinzani mostly wale wa mtandaoni wangetoa sapoti kwa mwenyekiti na msemaji wa upinzani (Mange) kuhoji yale yote ambayo mmekuwa mkiitisha press kuyahoji.
Sasa najiuliza mtaweza vipi kutushawishi sisi wananchi kuanzia kesho kuhusu hizo trilioni 1.5. Kama tu kelele zenu zimeshindwa kuwapa hasira wananchi including nyie wenyewe...?
Serious ukweli lazima tuseme kwa sasa hamueleweki huyu jamaa kawashika vibaya. 2020 hamtazidi 5 bungeni. Mwenye uhakika ni Prof...Jay.....
Sasa zoezi la kupima ukimwi na tezi nyumba kwa nyumba liendelee kwa kutumia nguvu hizi hizi.
Kazi mkuu, unafikiri wana muda huo?!Inaonekana diaspora wapo wachache sana. Yani watatu tu?