Maandamano makubwa kuidai Tanganyika.

Things are Easier said than done! kwa Tanganyika nayoifahamu kizazi hiki sidhani kama kinaweza kufanya yaliyofanywa na Tunisia, Misri, Libya, Yemen na sasa Syria! sisi tuendelee kulalamika tuu siku zinasonga mafisadi wanazidi kututumbukizia mirija mingi zaidi ya kutunyonya!
 
Unatuchukulia poa sio?
 
Kuna tetesi kuwa kuna maandamano makubwa kuidai Tanganyika hali ambayo inaonekana ni mtikisiko mwengine unaotarajiwa kuikumba Tanzania ,maandamano hayo yatafanyika Tanganyika kote ambako miji mikuu ndio itakuwa kiini
cha maandamano kwa kila mkoa ,wazee wa Tanganyika wenye busara ndio walioamua kutokaa kimya na kuona sasa ni muda muafaka wa kuibua hoja ya G55 iliyozimwa bungeni na mtu mmoja.

Tetesi hizo zimezidi kuonyeshwa kuchukizwa na hali ya nchi inavyoendeshwa bila ya kuwa na dira na maendeleo kutoonekana ,kila uchwao maendeleo yanarudishwa nyuma na kelele kutoka upande wa pili wa Muungano kuwa Muungano sio halali ,muungano unawanyionya muungano umedumaza ,sababu ambazo zinachangia kudumaa kwa Tanganyika na wananchi wake.
mambo ya tetesi ni uzushi mtu,kwa bongo maandamano sahau,kama raia tu wanashindwa kuandamana kwa madai ya msingi au mambo ya kipuuzi kabisa yanayofanya na serikali kama ishu ya madaktari inayomgusa mtu direct tofauti na muungano usitegemee watu kuingia barabarani kudai tanganyika.yako wapi maandamano ya kupinga dowans kulipwa? yako wapi maandamano ya wafanyakazi kama walimu kudai malimbikizo yao? pamoja na nyongeza ya mishahara?
 
Watanganyika wala hamuhitaji kuandamana, tulieni tu maana Zanzibar wanaifanya hiyo kazi ya kurudisha Tanganyika. Muungano ukishavunjika automatically Tanganyika itarudi hewani.
 
Kudai Tanganyika kisa wazanzibar wachache wamewadanganya wazanzibar wengi kuwa muugano ni dhuluma kwao sio jambo sahihi.

Tunaweza kufikiri kuirudisha jina la Tanganyika kama kufanya hivyo kutakuwa na manufaa kwa watanzania katika kuwaondolea kero zao zinazowakabili kwa sasa na zinazotarajia kuwa kipidindi kijacho.

Hivi Kweli mnaamini kuwa kurejesha Tanganyika :
1.kutaondoa Ufisadi kwa watawala na raia wengine?
2. Kutawezesha kuboresha maslahi ya wafanyakazi watanzania?
3.Kutawezesha wakulima, wafugaji, wavuvi, wawindaji,wasanii, na wengineo kupata maboresho ya maslahi ya kazi zao?
4. Kutaodoa watoto yatima wanotaabika mitaani?
5.Kutarejesha maadili mema ya baadhi ya watoto, vijana, wazee, watawala, watanzania mmoja mmoja ambayo yameshuka kwa kasi ya ajabu ktk siku za hivi karibuni?
6.Kutaondoa tabia ya baadhi ya viongozi wa dini kutumia nyumba za ibada kama kichaka cha kudhulumu watanzania?
7.Kutaondoa ushukaji wa ubora wa elimu inayotolewa na taasisi za serikali hapa nchini?
.....
.....
.....
orodha ni ndefu ... niambieni ninyi mnaotaka kurejesha Tanganyika, kama Tanganyika mnayoitaka inaubavu huo.

Watanzania tuna matatizo mengi ambayo yanatukabili, mimi siamini hata kidogo kuwa kurejesha Tanganyika itakuwa ni suluhisho la matatizo yetu.

Kama kuna mfumo wa nchi juu ya umoja wetu ambao waweza kuwa natija na kutuletea heshima na angalau kutatua matatizo yetu ni kuwa na nchi yenye serikali moja ikiziua kabisa Zanzibar na Tanganyika. mfano mmoja wa nchi zilizonufaika na mfumo huu Ujerumani mashariki na Ujerumani magharibi, ushaidi upo kwani sasa Ujerumani iliyoungana inasaidia katika kutatua matatizo ya kifedha kwa nchi za Hispania, Ugiriki n.k

Binafsi siungi mkono hoja ya kudai Tanganyika katika mazingira ya sasa.
 
Uunge au ukate mkono. Tanganyika inarudi. Imekuwa no bodies business.
 
Naamini kelele nilizozipiga zitakuwa zimewaamusha baadhi ya wale waliokuwa amepitiwa na usinginzi.
Communist: Nimekuelewa na naheshimu mawazo yako lakini msimamo wangu huko palepale
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom