Maandamano Makubwa Kufanyika Kesho Kupinga Mahakama kutumiwa kisiasa

Hesabu simple,

Lema kahukumiwa tukielekea pasaka, do you people know what it means??

Refer the philosophy of Easter/ Pass over/ Christian Paschal Festival...

Uchaguzi ni within 90 days= miezi 3(I stand to be corrected), resurrection was in 3 days...

Wait and see how we shall overcome!!

Aluta Continua!!:peace:

CHADEMA Arusha urban reloaded!!!

Mkuu uko sahihi nakubaliana na wewe,uweza wa mungu u pamoja nasi.
 
Hukumu ime2uuma,2na hasira na ccm,leo nimeikumbuka shahada yangu ya kufanyia mauaji,karibu tena kamanda lema
 
hakika ccm wanajizika wenyewe, hata mimi niliona tena huyo meya alikuwa akiongea kwa mbwembwe
huyu meya feki wa arusha ana kampuni za construction zilizokamata tenda za halmashauri.usikute hata huu ujenzi wa barabara arusha ana mkono wake hapo.
 
CCM ni mgonjwa ambaye yuko maututi amekata kauli iliyobaki ni rafu tu anatafuta mtu wa kufa naye
 
Na ilaaniwe CCM, kwa kuchakua hadi mahakamani. Kuna siku wizi na dhuluma zetu zitawamaliza pamoja na vizazi vyenu

Nadhani ifike mahala wananchi tutafute namna ya kuwatia adabu watu wanaotumia taaluma zao kuingiza hii nchi shimoni. Nina imani huyu Judge anaishi mitaani, anatembelea barabarani. Kuna haja ya kutafuta hata namna ya kumwajibisha na yeye. Hakika watu wametanguliza hela utafikiri wataishi millele. Kumbe ndo maana watu huwa wanajitoa mhanga. Huyu judge bado natafakari huenda nikaja na njia inayoweza kutumika kumtia adabu.
 
Nimesikiliza vilio vya wamama wa Arusha baada ya hukumu ya uonevu kwa bwana Lema; kwa kweli imenisikitisha sana na imeonyesha jinsi Lema anavyohitajika Arusha kuliko watawala wetu wanavyodhania. Machozi na sononeko la wamama hawa masikini havitawacha CCM wakiwa salama! Dhulumu haiwezi kushindana na haki!
 
Nadhani ifike mahala wananchi tutafute namna ya kuwatia adabu watu wanaotumia taaluma zao kuingiza hii nchi shimoni. Nina imani huyu Judge anaishi mitaani, anatembelea barabarani. Kuna haja ya kutafuta hata namna ya kumwajibisha na yeye. Hakika watu wametanguliza hela utafikiri wataishi millele. Kumbe ndo maana watu huwa wanajitoa mhanga. Huyu judge bado natafakari huenda nikaja na njia inayoweza kutumika kumtia adabu.
hakika kama aishivyo Mungu tunayemwamini na kumtumikia natoa unabii huyu jagi sio jaji mvi zake hazitashuka kaburini kwa amani
 
Wanaarusha naomba pia mtafute njia ya kuwawajibisha wale waliofungua kesi mana inaonekana dhahiri kuna mkono wa rushwa. Huyo mzee anayejidai alikerwa na "matusi" afungue kesi basi kuhusu Lusinde na kampani yake. Vinginevyo watu wa namna hii hawastahili kuendelea kuishi ni hasara kwa taifa. Mungu wasaidie kujitambua
 
Jeshi la polisi limejipanga kwa uhuni wowote mtakaoufanya.
 
Waasisi na babu zetu walimwaga damu kukomboa nchi yetu toka kwa wakoloni!
Watanzania kadhaa wamemwaga damu kutukomboa mara ya pili toka udhalimu huu wa magamba!
MORE BLOOD WILL HAVE TO BE SHED kukamilisha ukombozi wa watanzania.
 
Hivi wazo la kwamba hii ni vita halijaeleweka bado? Kilichonishtua mimi zaidi siyo hukumu yenyewe hasa - kwani ingeweza kwendwa vyovyote vile kutegemeana na ushahidi. Kilichonishtua mimi ni kuwa siku moja kabla hukumu ilikuwa tayari inajulikana. Hili sikumbuki kuwahi kutokea kwenye kesi nyingine yoyote kwenye mahakama kuu. Je kuvuja huko kwa hukumu kumetoka wapi? Na kuna maana gani katika siasa na utawala wetu? Majibu ya haya yanatisha zaidi kwani ina maana vita inapiganwa sasa siyo kwenye sanduku la kura tu bali sasa tunaenda hadi mahakamani na ni wakati wa kuangalia mikakati yetu ikoje.

Damu zaidi inahitajika kurutubisha miche michanga ya ukomboz iliyo anza kuchipua!
 
Ndugu zangu wapiga kura wa jimbo la arusha,nawashauri tuanze kuzitafuta kadi zetu za kupigia kura zilipo na kama zipo katika wallet zetu basi tuzitoe na kuzificha majumbani ili zisipotee au kuibwa inapotokea wallet imepotea tayari kwa kuchimba kaburi jingine la chama cha mafisadi hapa arusha.Najua kabisa tume ya uchaguzi ya CHAMA CHA MAHAKAMA(ccm) itazuia watu waliopoteza kadi za kura kuandikishwa upya kama ilivyofanya arumeru magharibi ili kupunguza wapiga kura.Aidha watu wajitokeze kukagua majina yao mapema kwani hawa jamaa kupitia tume yao huwa wanabadilisha majina ya watu ili yatofautiane na majina yaliyopo katika kadi za kura ili kuzuia watu kutumia haki yao ya msingi ya kupiga kura.

TUHAMASISHANE KUANZIA SASA NA TUJITOKEZE KWA WINGI SIKU YA KURA ILI KUIADHIBU CCM ISIYO NAA HURUMA NA WATU WADOGO BALI IKIKUMBATIA MAFISADI.Hii ndiyo zawadi "PEKEE" wanayostahili kupewa na sisi wana jimbo la uchaguzi la Arusha Mjini.

Peoplezzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz
 
Mkapa na watu wake wote ni waiziiiiiiiiiiiiii...... Majinga haya .................... Yasiyokuwa na hayaaa kafedhuli hayoooooooooooo hovyooooooooooooo!
 
Katika kile ambacho kinaonekana CCM walijua ni kitu gani kitatokea mahakamani leo( Lema atavuliwa ubunge).Jana walianza campeni rasmi kwa vibaraka wao TBC1 kuonyesha projects za barabara ambazo zinajengwa katikati ya mji wa Arusha kwa msada wa Benki ya Dunia, tuliona meya wa Arusha akitamba kwamba project hizo ni msada kutoka Benki ya Dunia na Serikali imechangia kidogo.

Maswali ya kujiuliza:Meya wa Arusha alikuwa wapi kufanya publicity hiyo kabla ya jana? au ndio CCM wanataka kutumia projects hizo za world bank kama mtaji wao wa kisiasa kuomba uruma kwa wananchi wa Arusha?

Mkuu hapa arusha lema cc ndio tuliompa kura na na chadema arusha nihome hakuna gamba atakayepita hapa hata wakitumia wizi tutakufanao
 
Hivi wazo la kwamba hii ni vita halijaeleweka bado? Kilichonishtua mimi zaidi siyo hukumu yenyewe hasa - kwani ingeweza kwendwa vyovyote vile kutegemeana na ushahidi. Kilichonishtua mimi ni kuwa siku moja kabla hukumu ilikuwa tayari inajulikana. Hili sikumbuki kuwahi kutokea kwenye kesi nyingine yoyote kwenye mahakama kuu. Je kuvuja huko kwa hukumu kumetoka wapi? Na kuna maana gani katika siasa na utawala wetu? Majibu ya haya yanatisha zaidi kwani ina maana vita inapiganwa sasa siyo kwenye sanduku la kura tu bali sasa tunaenda hadi mahakamani na ni wakati wa kuangalia mikakati yetu ikoje.

Mkuu wangu kwa nini ulisema Lema atashinda hii kesi ya uchaguzi ukaweka na asilimia 99.99?
 
people's power lazima iwanyime usingizi,people's power ni sauti ya Mungu,kamwe Mungu hawezi kuwaacha watu wake wateketee,kwani hamkumbuki mapigo aliyoyapata Firauni alipotaka kuwazuia waisrael.Watahangaika sana lakini hawatashinda,huu ni mpango wa Kimungu zaidi kuliko hisia za binadamu
 
tuizike tena ccm, A town peoplessssssssssssss powerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
Hata na kikwete akija kwenye kampeni hamna ushindi kwa ccm
 
Mkuu wangu kwa nini ulisema Lema atashinda hii kesi ya uchaguzi ukaweka na asilimia 99.99?
Lema ameshinda kesi, ila hukumu iliyosmwa sio ya kesi aliyokua nayo ... Kahukumiwa kwa mambo ya Baada ya ubunge

Hata Hilo you need to be taught?
 
Back
Top Bottom