Maandamano !!! Maandamano!!!!! Jumamosi 26/11/2011: Yana Kibali Cha Polisi!

KING COBRA

JF-Expert Member
Nov 10, 2011
2,782
864
Wapo Mission international ya Jijin Dar ,Imeandaa Maandamano ya hisani yenye lengo la kuchangisha Tshs 500m, kwa ya kununua viwanjwa vya ujenzi wa Shule ya Maadili kwa Kizazi kipya.

Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa bodi wa MISSION hiyo Mhe Jaji Harold Nsekela wa Mahakama ya afrika , Mashariki , maandamano hayo ambayo Mgeni Rasimi ni waziri Mkuu Mizengo Pingo yatafanyika tarehe 26/11/2011!!! Maandamano hayo hayo ni ya zaidi ya 2km ambapo yataanzia eneo la Jogoo.

Awali mpango huu wa Maadili kwa kizazi kpya ambao unaenda sambamba na Tiba Lishe na Kutoa Sumu uliopo mtaa wa LOLIONDO kurasini ulizinduliwa na Rais Jakaya Kikwete tarehe 18/07/2011.

Mwenyekiti anawataka watu wote kuhudhuria na wale watakoa shindwa kuhudhuria wachangie kupitia CRDB 01j1013657901 na kwa Mawasiliano zaid piga simu 0787 582845.
 
Umenikata Stim kinoma, daaah me nilijua yale maandamano yetu ya jukwaa la katiba ambayo nilishajiandaa na bango langu ninalo nasubiri turuhusiwe kuandamana tu

Dah
 
Kwani ukienda kwenye maandamano hayo na bango binafsi wanakataza ?
 
Duh aseeeeeeeeeeeee, umekata stimu kabisa nilikuwa nshaanza kuchana box!!!!!!!!!!!!
 
Mimi nashauli Wale wote ambao walikuwa wanataka kupinga Mswaada wa Katiba waende na Mabaongo hayo kwenye maandamano hayo kwani hakuna anaye kataza!!!

Mrada wa Kutoa Sumu ni Wa askofu Gammanywa ambaye ni mdau wa CCM hivyo hakuna shaka!!!
 
Wakiyaruhusu haya maadamano ndiyo nitaamini hawa polisi ni policcm.
 
wakuu twendeni, tutayageuza njiani na kuwa ya katiba!! Jitokezeni kwa wingi tuweze kufanya surprise kwa mapong'o.
 
Uwe unaweka na aina/sababu za maandamano kwenye heading,
Namna hii ni kurushiana stimu tu!!!
 
...mimi na jamaa zangu wanne tulokuwa wote katika harakati za kuipigania katiba mpya ya serikali ya wanafunzi pale Chuoni IFM mwaka 2008,tumepanga kuwasuprise waandamanaji wa Gamanya. Tutakuwa na mabango yetu ya kupinga kusainiwa kwa mswada wa Mchakato wa Katiba. Karibuni na wengine,mtuunge mkono na mabango yenu yenye maudhui kama ya kwetu.
 
Wapo Mission international ya Jijin Dar ,Imeandaa Maandamano ya hisani yenye lengo la kuchangisha Tshs 500m, kwa ya kununua viwanjwa vya ujenzi wa Shule ya Maadili kwa Kizazi kipya.

Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa bodi wa MISSION hiyo Mhe Jaji Harold Nsekela wa Mahakama ya afrika , Mashariki , maandamano hayo ambayo Mgeni Rasimi ni waziri Mkuu Mizengo Pingo yatafanyika tarehe 26/11/2011!!! Maandamano hayo hayo ni ya zaidi ya 2km ambapo yataanzia eneo la Jogoo.

Awali mpango huu wa Maadili kwa kizazi kpya ambao unaenda sambamba na Tiba Lishe na Kutoa Sumu uliopo mtaa wa LOLIONDO kurasini ulizinduliwa na Rais Jakaya Kikwete tarehe 18/07/2011.

Mwenyekiti anawataka watu wote kuhudhuria na wale watakoa shindwa kuhudhuria wachangie kupitia CRDB 01j1013657901 na kwa Mawasiliano zaid piga simu 0787 582845.

vipi el shabab. Hawata kuwepo?
 
bora wameruhusu hayo maandamano mazuri ya kumkomboa mswahili wa tz na uzembe walionao wakufikiri..
 
Wapo Mission international ya Jijin Dar ,Imeandaa Maandamano ya hisani yenye lengo la kuchangisha Tshs 500m, kwa ya kununua viwanjwa vya ujenzi wa Shule ya Maadili kwa Kizazi kipya.

Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa bodi wa MISSION hiyo Mhe Jaji Harold Nsekela wa Mahakama ya afrika , Mashariki , maandamano hayo ambayo Mgeni Rasimi ni waziri Mkuu Mizengo Pingo yatafanyika tarehe 26/11/2011!!! Maandamano hayo hayo ni ya zaidi ya 2km ambapo yataanzia eneo la Jogoo.

Awali mpango huu wa Maadili kwa kizazi kpya ambao unaenda sambamba na Tiba Lishe na Kutoa Sumu uliopo mtaa wa LOLIONDO kurasini ulizinduliwa na Rais Jakaya Kikwete tarehe 18/07/2011.

Mwenyekiti anawataka watu wote kuhudhuria na wale watakoa shindwa kuhudhuria wachangie kupitia CRDB 01j1013657901 na kwa Mawasiliano zaid piga simu 0787 582845.
Pingo=Pinda
Jogoo la wapi?
 
Back
Top Bottom