Kongosho
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 35,999
- 24,175
usinione nina huzuni sana.
Hapa sina nguo naandamana kuanzia jukwaa la wakubwa, napitia complaint naelekea chit chat naenda kutoa tamko kule jukwaa siasa.
Hapa sina nguo naandamana kuanzia jukwaa la wakubwa, napitia complaint naelekea chit chat naenda kutoa tamko kule jukwaa siasa.
Asprin naye bana,we unakula na kipofu kisha unamshika mkono? Halafu we kongosho nasikia ban ya asprin umeifurahia eti kwa vile alikubwagwa shauri ya yeye kuopoa ka chicken spring jf.