Maandamano kudai babu ODM aka Asprin atolewe gerezani!!!

Status
Not open for further replies.

Kaizer

Platinum Member
Sep 16, 2008
25,320
17,822
Wajameni wana chit chat!
Tumepata msiba mkubwa!!

Yaani babu yetu, mkaguzi mkuu, fotografa wetu mkuu, katiwa pingu na wakuu wa humu!!
Amefanya nini?

Hima hima niungen mkono atokemo huko aliko maana hali ya huko. Sote twaijuaanaweza kurudi akataka kukagua wajukuu wa kiume!

Sasa basi, mod msifute huu uzi tafadhali, acheni wananchi waandamane,

Baby gfsonwin tusile kidude hadi babu atoke, Erickb52 acha kunywa ndovu hadi kieleweke, charminglady, Kongosho, Bishanga acha kuendesha hammer panda bajaji, Elizabeth Dominic na Kaunga tufunge!
platozoom usiende chako ni chako, wala cacico usende tena site!!
King'asti na BADILI TABIA, Yummy, Erotica na wajukuu wote njooni!

Judgement ebu suggest ujumbe wq mabango naangalia ruti na kibali!

Free ODM!!
 
Last edited by a moderator:
Kafanza nini tena!? si alikuwa kwenye talk show ya Zinduna! huko jela amsalimie Baba V! waitress Ndovu moto na viroba vitatu tafadhali!
 
Bango langu lisomeke mode aliyemfunga babu abadilishwe jinsia.

Asee Mazandu umejiunga kwn maandamano? Karibu ila huduma ya kubadili jinsia hatuna hapa,,,,tafuta ujumbe mwengine
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha ha nilimwambia aachane na vijukuu twende sawa sie wakongwe akakomaa mwacheni atii akili yake.
 
Kaizer unaniharibia mipango yangu bana...............japo i support Free babu ODM Asprin Movement lakini siwezi funga kuna kamnuso nimealikwa afu kesho nitakuwa nina mahangover yakutosha labda nianze mfungo J5, mbali ya hapo hiyo Jumatano yenyewe nina maungamo hiyo mivinyo nitamwachia nani?
Hapana kwakweli

FREE Asprin
 
Last edited by a moderator:
mweh!...maskini babu..mara ya mwisho nakumbuka nilitaniana nae kuhusu vibinti vya humu!!ha ha ha!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom