Maandamano kudai babu ODM aka Asprin atolewe gerezani!!!

Status
Not open for further replies.
mods mods mods. . . mwachien babu Asprin wajukuu zake tushaanza kummiss!
La cvyo Kaizer tugome hta kuingia jf. . . me naanza! bango langu litasomeka
JAMII FORUMS BILA BAN INAWEZEKANAAAAA!!!!!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Wajameni wana chit chat!
Tumepata msiba mkubwa!!

Yaani babu yetu, mkaguzi mkuu, fotografa wetu mkuu, katiwa pingu na wakuu wa humu!!
Amefanya nini?

Hima hima niungen mkono atokemo huko aliko maana hali ya huko. Sote twaijuaanaweza kurudi akataka kukagua wajukuu wa kiume!

Sasa basi, mod msifute huu uzi tafadhali, acheni wananchi waandamane,

Baby gfsonwin tusile kidude hadi babu atoke, Erickb52 acha kunywa ndovu hadi kieleweke, charminglady, Kongosho, Bishanga acha kuendesha hammer panda bajaji, Elizabeth Dominic na Kaunga tufunge!
platozoom usiende chako ni chako, wala cacico usende tena site!!
King'asti na BADILI TABIA, Yummy, Erotica na wajukuu wote njooni!

Judgement ebu suggest ujumbe wq mabango naangalia ruti na kibali!

Free ODM!!

Nimetumwa na Asprin kumjibia hoja zake kipindi hiki anachokuwa anapiga stori na Babu mwenzake Seya.
 
Last edited by a moderator:
Nimeshaandaa bango maandamano yanaanzia wapi Kaizer??

Orait kwa wale tuko dar, maandamano yataanzia pande za ubungo mataa, tazara, na tegeta kwen baa ya fytanga, mbagala rangi tatu na gezaulole kwa wale wa kigamboni, titakutana jangwani. Wanaotoka kgamboni watakuwa na kituo magogoni pale ujumbe ufike, wazangumzaji wakuu watakuwa cacico, gfsonwin, Mende0, na Asprin mwenyewe

Kwa wale wa arusha tutaanzia 7up, majengo na usa river wote tutakutana viwanja vya nmc, kamanda BAGAH akisaidiana na Erickb52 wataongoza.

Mwanza from kapri point to mabatini ula hakuna kwenda kirumba, wataongoza Judgement na FirstLady1 ataongea, Katavi ataongoza mkoani katavi hadi uwanja qa s/m kibaoni kutoka mto katumba,

Wapi bado?

FRE ODM!!
 
Last edited by a moderator:
Wakubwa wamemfanyaje Babu?
Mtu mzima huyu kawa'kawaje?
Matukio kwa picha tutayapata kupi ?
Hebu KONNIE atumie formula aliyotumia wakati wa Maziwa mgando, itamtoa Babu soon!
 
Wakubwa wamemfanyaje Babu?
Mtu mzima huyu kawa'kawaje?
Matukio kwa picha tutayapata kupi ?
Hebu KONNIE atumie formula aliyotumia wakati wa Maziwa mgando, itamtoa Babu soon!

Tuandamane wasije wakampeleka Mabwepande.
 
Free ODM

Tena mie nina hasira kama nini, nimevua na nguo zote ole wake mod aniguse namwanzishia kesi ya halasimenti.

FREE ODM for stress free chit chattling!
 
Duh maskini Kongosho aliwachwa anyway.

asprin atawasalimie maziwa ya mgando na FF


Free Asprin for stress free chit chattling

Amenambia we ni home boy wake kazi ya ukaguzi kakukabizi wewe. Ili mradi tu usiwakague cacico, Yummy na BADILI TABIA kwa kuwa alishawafanyia ukaguzi wa kudumu. Ametoa onyo kwa Catherine kuwa akiendelea kumfanyia kauzibe atamtaliki kabla hajakaguliwa.
 
Last edited by a moderator:
wazee wenzie wanafuga sharubu yeye kafuga za kwapani

si wameamua kuzinyonyoa hizo nywele kwa jivu lol

Free Asprin for stress free chit chattling

Wakubwa wamemfanyaje Babu?
Mtu mzima huyu kawa'kawaje?
Matukio kwa picha tutayapata kupi ?
Hebu KONNIE atumie formula aliyotumia wakati wa Maziwa mgando, itamtoa Babu soon!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom