dada kipipi hata wewe umeona
Mi hata sijui nimpendekeze nani, nawapenda wadada wote......................... ah!
mh atutia mashaka kweli yani dah
yewuuu mlongo wangu. za magono?Loh dada....
Nikuwoni!!
:hug:
yewuuu mlongo wangu. za magono?
Ni kweli ila nakuahidi nitakupendekeza katika uchaguzi unaofuata.
umeshakaguliwa na Asprin?
Nimeona dearest.....
Kaa chonjo my Arabela, mgeni huyo ana kasi kweli! lol
yaani wewe unajua nikuwoni tuu? hujui wanaitikiaje? hata za magono kwenye mataa?Nzuri...!!!
(ila hapo umeniacha kwenye mataa) lol
Dah.......
Mgeni kachangamka huyooo!!!
cna kosa jamani sema nimepata wenyeji wakarimu!
yaani wewe unajua nikuwoni tuu? hujui wanaitikiaje? hata za magono kwenye mataa?
walongo wangu snowhite, moto2012, Mzee Tupatupa, naomba mniitie na wengine, kuna twishen ya lungha huku!
mjini hapa wazeeiya
yewuuu mlongo wangu. za magono?
Nzuri...!!!
(ila hapo umeniacha kwenye mataa) lol
nimeshamualika mda mreu kwajli ya ukaguz bt mpaka sasa cjamwona.