Maandalizi:MISS CHIT CHAT NOVEMBER IS HOT,..pendekeza jina nani aingie kuwania taji

uwezo wake kiutendaji umeshuka sana,
yule aliyekuwa anamletea dozi ya kuimarisha misuli,
amekamatwa kwenye kasheshe la mbagala,
hivyo Asprin wa leo siyo yule wa majuzi.

Kwa kauli yako Mamndenyi, natangaza rasmi kuwa pretty n AMERUHUSIWA RASMI KUSHIRIKI MASHINDANO HAYA Hasa ukitilia maanani kuwa mwaandaaji hana UBAGUZI. Vinginevyo aje hapa Ruhazwe JR aseme vinginevyo.
 
Last edited by a moderator:
mbona ma miss ni wachache sana humu na wanahesabika? na hao uliotaja hapo juu wala sio mamiss hao wote ni wamama,wabibi na ma mrs na waume zao wapo humu humu na waume zao wanajiita majina ya vidonge.kwa kifupi shindano hilo ni batili watu humu hadi wana wajukuu af unaita miss chit chat haikubaliki hata kidogo!MA MISS WA UKWEEEE WAANDAE MAANDAMANO NA NTAWAPA SAPOTI.PM 20 TU ZINATOSHA KUFANYA MAANDAMANO

Maandamano!?, hujaskia kuwa JWTZ linalinda amani ya nchi
 
Back
Top Bottom