Maandalizi:MISS CHIT CHAT NOVEMBER IS HOT,..pendekeza jina nani aingie kuwania taji

Nimekupata miss wetu..Binafsi nimependezwa sana kwa jinsi ulivyolitendea haki taji hili, naomba umpe maujanja na miss mrithi wako mbinu zako na busara zako.
Naona mzee mkubwa pia Ruttashobolwa kaunga mkono upumzike..Mi sitii neno tena hapo.

Asante sana Asulo kwa kunielewa,ni kweli majukumu ya kifamilia yalinibana,ila kiukweli inabidi tuliboreshe hili shindano ili litambulike hata kwa Memberz wa majukwaa mengine.
Binafsi mimi nikiwa kama Miss ChitChat ninayemaliza muda wangu nikishirikiana pamoja na Kipenzi changu Lawyer wenu Ruttashobolwa tumetenga kiasi cha Tsh 100,000/=(laki moja taslimu) kwa Mshindi atakaekuja.

Chagulaga...!!
 
Last edited by a moderator:

Safi sana Miss ChitChat..Nimependezwa na maono yako kwa kutaka shindano hili lisonge mbele zaidi.
 
Last edited by a moderator:
Habhar yenu bhana!
images

Utakumbuka kila mwezi huwa tunakuwa na mchakato wa kumsaka miss Chitchat.ukilejea mtililiko tayari tuna mamiss watatu kama ifuatavyo:-
  1. 1. Mwezi Aug tunaye miss cacico
    2. Mwezi sept tunaye miss Remmy
    3. mwezi oct tunaye miss Madame B,ambaye ndiye anaye peperusha bendera hiyo kwa sasa

Tukiwa kwenye maandalizi kwenda kwashindanisha warembo wa chitchat yatakayo fanyika hapa hapa chitchat juanzia tarehe 31 oct,Tunaomba upendekeze kwa kutupia jina/majina amaye unaona anafaa kugombea mis chitchat hapa na kuwa miss wetu wa chitchat.Hakuna mashart yoyote sisi tutachambua majina yatayo tachwa sana na kupata majina kumi.

Nawasilisha

napendekeza jina la Mamndenyi
 
Last edited by a moderator:
kalaga bao

Back
Top Bottom