Ha ha ha kapatwa huyuVp umepewa maneno kuntu?
Mwanzo wa neno hili kenya, likiwa na maana ya FISi.Anayejua maana ya neno nyang'au naomba anipe maana wadau.
Asanteni.
Ni fisi -mnyama anayedharaulika kwa kula kila kitu hata vilivyoozaMbwa: MBWA KOKO.
Paka: NYANG'AU.
Lakini kulingana na muktadha wa matumizi husika, neno NYANG'AU hutumika kumuelezea mtu anaeoneka amekosa ADABU na USTAARABU.