Maana ya neno nyang'au

Bizzmc

Senior Member
May 2, 2016
187
184
Anayejua maana ya neno 'nyang'au' naomba anipe maana wadau.

Asanteni.
 
Nyan' gau ni ufupisho, abbreviation ya neno NYAN' GA NYANG' A!, Wametohoa tu!
 
Mbwa: MBWA KOKO.
Paka: NYANG'AU.

Lakini kulingana na muktadha wa matumizi husika, neno NYANG'AU hutumika kumuelezea mtu anaeoneka amekosa ADABU na USTAARABU.
 
Mbwa: MBWA KOKO.
Paka: NYANG'AU.

Lakini kulingana na muktadha wa matumizi husika, neno NYANG'AU hutumika kumuelezea mtu anaeoneka amekosa ADABU na USTAARABU.
Ni fisi -mnyama anayedharaulika kwa kula kila kitu hata vilivyooza
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom