The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,110
- 115,899
kuna mdada mmoja sikuwahi kumtongoza
nilifahamiana nae kikawaida.kiofisi zaidi....
sasa juzi nimekutana nae...nikamwambia karibu weekend
moja maeneo ya kwetu...
akanijibu subiri nilee kwanza....
kwa sababu ametoka kujifungua karibuni,
well alimaanisha nini?au alielewa vinginevyo?
halafu kuna msemo mwingine nimewahi sikia wanawake
wakiusema in way huwa najiuliza exactly wanamaanisha nini?
utasikia wakisema kuna wanaume hata ukiwabeba mgongoni hawaridhiki..
now hapa kubebwa mgongoni humaanisha nini hasa???????