Maamuzi ya Serikali juu ya MGOMO WA MADAKTARI

Status
Not open for further replies.
Kuna recruitment ya madr toka china kama 1000 hivi wanaandaliwa kuja kule hawana kazi ya kufanya

Mh hao wa kichina wanatumia miujiza kutibu? Maana tatizo sio madaktari, tatizo KUBWA mi ukosefu wa vifaa vya kutibia
 
Kuna recruitment ya madr toka china kama 1000 hivi wanaandaliwa kuja kule hawana kazi ya kufanya

Huko ni kuwadharau watanzania. hao wachina watakuja kufanyia wapi kazi. Tusiwatafute watanzania ubaya hadi hasira zetu zipande kiasi cha sasa kufanya yasiyotakiwa kufanyika.

kwa maoni yangu hapa hakuna sababu ya ubabe wowote. kama watu unaowaongoza hawataki kabla ya kuligeuza jambo hili kuwa la kisiasa au wanatumiwa na wanasiasa tutatue matatizo kwanza ikiwezekana basi tuachie ngazi...tusiogope kuachia ngazi na kuwapisha wengine pale ambapo inabidi kufanya hivo kwa maslahi ya taifa letu...

Kazi ziko nyingi sana...hasa kwa msomi kama Mponda na Nkya...elimu yao tu inawalipa au labda kama wameshasahau kila kitu baada ya kuwa wanasiasa. Waje kwangu mimi nitawapa kazi na wao wataishi kwa ulaini bila maneno...lakini lazima niwapige interview kwanza...eeeh ndiyo!!!! competence mbele...!!!!
 
waliogoma walie tu kuna mzigo wa madaktari kama mia mbili hivi wamekosa kazi kwao India wanakuja kuajiriwa tena kwa malipo chini ya mishahara ya hawa waliogoma na hawana mizengwe ya kulilia pipi ya kijiti!!Na waendelee kugoma hadi Yesu atakaporudi
 
Huko ni kuwadharau watanzania. hao wachina watakuja kufanyia wapi kazi. Tusiwatafute watanzania ubaya hadi hasira zetu zipande kiasi cha sasa kufanya yasiyotakiwa kufanyika.

kwa maoni yangu hapa hakuna sababu ya ubabe wowote. kama watu unaowaongoza hawataki kabla ya kuligeuza jambo hili kuwa la kisiasa au wanatumiwa na wanasiasa tutatue matatizo kwanza ikiwezekana basi tuachie ngazi...tusiogope kuachia ngazi na kuwapisha wengine pale ambapo inabidi kufanya hivo kwa maslahi ya taifa letu...

Kazi ziko nyingi sana...hasa kwa msomi kama Mponda na Nkya...elimu yao tu inawalipa au labda kama wameshasahau kila kitu baada ya kuwa wanasiasa. Waje kwangu mimi nitawapa kazi na wao wataishi kwa ulaini bila maneno...lakini lazima niwapige interview kwanza...eeeh ndiyo!!!! competence mbele...!!!!

Mkuu wewe unasikiliza porojo za huyo anaesema China kuna madr kibao hawana kazi?hakuna nchi duniani yenye madaktari ambao hawana kazi
 
Msimamo ni ule ule wakawatibu akina Ananilea, Bisimba Ulimboka na Namala. Katika hospitali za Serikali hakuna tatizo tayari muda wowote madaktari watamwagwa wengi sana.

Kama ni hao madaktari wa kichina bora niende Loliondo kwa Babu! Tatueni tatizo acheni propaganda haziwasaidii.
 
hahaaa yaani hii nchi bwana inanifurahisha sana....hivi JK anajielewa kweli au yupo yupo tu
 
Wazazi hivi ****** yule anayependa kuchonga yupo nchi au keshapata safari

(Kikwete + Pinda)X Mafisai = kifo kwa taifa la Tanzania
CCM

(CHADEMA + WANAHARAKATI)= Uhai wa Tanzania Mpya
Wazalendo

Kupanga ni kuchagua we live only once hii serikali inapaswa kung'olewa madarakani right now!
 
Kitendo cha kuwanyanyasa wanachi masikini si cha busara. Unapigwa na baba mwenye nyumba wewe unakutana na katoto kake kadogo kasiko na nguvu unaanza kukashambulia wakati hakana utetezi; hii si haki.
 
Daktari mchina/Indian??Kwa lugha gani atachukua historia ya mgonjwa???Nurses wetu watawasiliana nao kwa lugha gani????Mfumo wa IMCI ambao ni maalum kwa nchi zenye limited resources wanaujua???Unaijua doctor to patient ratio ya China/India??Kama ndivyo wanavyodanganyana politicians ninauona mwisho mbaya wa utawala bila hata uchaguzi.
 
Madakitari wazungumze na serikali kuhusu mambo yaliyo na maslah na kazi zao kazi kuunda serikali ni ya Rais.Katiba haijawapa madakitari haki ya kuweka mawaziri na kuwatoa. Vinginevyo' ikiwa madakitari wetu wameamua kutumiwa na wanasiasa wenye uchu wa madaraka, hiyo siyo' tutakufa siyo wagonjwa tu' Bali hata wazima. Madakitari mskubali kutumiwa kuimaliza Tanzania.
 
Kuna recruitment ya madr toka china kama 1000 hivi wanaandaliwa kuja kule hawana kazi ya kufanya

Serekali pia isisahau recruitment ya mkalimani (wa kumtafsiria mchina mgonjwa anaumwa nini), mtoaji wa dawa anayeweza kusoma prescription form iliyandikwa kichina, nesi anaejua kichina ili kujua dr, mchina ameagiza nini kuhusu mgonjwa etc etc etc, du!! option hii mie naiona ngumu sana!
 
Tunapojadili juu ya sensitive issues kama hizi zinazohusu uhai au maisha ya watanzania let's be serious please. By all standards huwezi ku-temper na profession hii. Wale tunaodiriki kudhihaki madai ya MDs ni sisi tulio na uwezo wa kwenda Hindu Mandal na Aga Khan. PM Pinda can not do anything without these doctors. Rest assured.
 
Mi nadhani turejee tujiulize wanaokufa sababu ya mgomo wa madaktari ni Mbuzi au ni watu,,kama si mbuzi na ni watu,bac anaweza kuwa mama,mtoto,dada,'kaka,mjomba au shangazi,ni nani kakosea hapa ni mtu aliyeacha kutimiza wajibu wake (Daktari)au yule anayemsimamia kutimiza,tafadhali acheni kuchezea maisha na uhai wa wenzenu,wote tupo ndani ya jahazi moja likizama tunazama wote.
 
sack all members of this maladministration of the country

this is the period of lent and yet the rulers are proved to be the enemies of God
 
Tunasubiri donors watuamulie ie kwa msaada wa watu wa marekani/UK
 
I PRAY hao madaktari kutoka CHINA hatawakuwa FAKE kama bidhaa zao.

Sio kwamba China haiwezi kutengeneza vifaa madhubuti au kutoa madaktari
qualified, the thing is CHINA wameshatuona Tanzania a dumping place, hivyo
hata hao DKs watakaotuletea ni wale FAKE na sio Qualified MDs, Mark my words
Watakuja Waganga wa kienyeji na Wakunga wa jadi ambao hawana kazi huko China.

Lakini huwa ninapenda sana zile dawa zao za kunenepesha makalio (LoL!) wakati
wao makalio yao ni madogo. Tanzania bwana tumeshafanywa ma-Guinea Pigs.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom