Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 30,812
- 59,392
Mbu tatizo ni kwamba inawezekana hizo weakness ndizo zilizokua zinasababisha matatizo huko kwa ''mazimwi yamjuayo''. Yani inawezekana namna ya wao kudeal nazo ilikua kumyanyasa (kipigo..matusi etc) kwa maana hiyo hawazikubali japo wanazijua. Sasa akitumia hicho kigezo cha ''angalau wao wananijua tayari, na kunitaka turudiane ina maana wanakubali mapungufu yangu'' atakuja kushangaa watakaporudia tabia zao na kuanza kumwadhibu tena kwa mapungufu aliyonayo....umeichambua vizuri Lizzy,....
unajua, hata kwangu mimi huo msemo wa "better the devil you know, ...." wakati anasisitiza abuses kwenye past relationship, ndio zilizonifelisha mtihani huu mbu mie...
kwa mtazamo wangu, kuna weakness yake/zake ambazo anajikubalisha kwa "zimwi limjualo..." ambaye angalau wanaweza kukaa chini na kuya address matatizo yao, kuliko hizo "excess baggages" kuhama nazo kwa huyu ambaye bado hajaji commit naye 100%...au?
Kuhusu kumpelekea huyo mpya ''excess baggages'' yaweza isiwe hivyo upande wa mwenzake. Tatizo ni kwamba watu waliopo kwenye position kama ya huyo dada huwa wanamwaundermine zimwi mpya.Bila kujua wanajiamulia kabisa kwamba matatizo yao ya nyuma yatakua mzigo sana kwa mtu mwingine, wakati pengine huyo mtu mwingine hana mawazo ya aina hiyo.
Huyo dada aangalie tu asije akammwaga huyo kaka mpya kwa zimwi limjualo baadae akarudi na kukuta mwingine alichukua nafasi na kubaki kutamani ingekua yeye.