pascaldaudi
JF-Expert Member
- Mar 25, 2009
- 534
- 96
Great Thinkers, nimekuwa nikijiuliza hivi kwa nini vyombo vya habari (hususani magazeti=haswa mwananchi) kwa nini kwenye title zao huwa hawaanzi na title ya MAKAMU WA KWANZA WA RAIS WA ZANZIBAR?
Mfano:Maalimu Seif ahimiza uwekezaji katika elimu
http://www.mwananchi.co.tz/biashara...4-maalimu-seif-ahimiza-uwekezaji-katika-elimu
Mfano:Maalimu Seif ahimiza uwekezaji katika elimu
http://www.mwananchi.co.tz/biashara...4-maalimu-seif-ahimiza-uwekezaji-katika-elimu