Maalimu Seif siyo Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar?

Hawaandiki hivyo kwa kuwa ''kila mtu anajua Maalimu Seif ni Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar''

Sio Maalimu pekee, hata kwa JK, sijawahi kuona wakiandika kwa mfano: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ndugu JK aelekea Sudan leo''. Kwa nini wahangaike kutaja cheo chake chote wakati mimi, wewe na yule tunalitambua hilo?
 
Umenena mkuu,safi sana!!
 
ni sahihi si lazima sana kuanza na cheo cha mtu ila inapobidi
 
Kama Slaa pia.. Hakuna anayesema Padri Muasi Slaa...............kwa sababu kila mtu anajua hivyo!
 
Anawapeleka puta! Anawatia uchizi! Anawafanya msahau kuvaa nguo za ndani? Na bado..!!
Ndiyo tatizo la wanafiki wa CCM, wao wanaambiwa wananchi tunamaisha magumu, tunahitaji mabadiliko, wao bado wapo zama za TANU! Ngoja Dr Slaa aendelee kuelimisha wananchi na wao (CCM) wakalie majungu!
 
Great Thinkers, nimekuwa nikijiuliza hivi kwa nini vyombo vya habari (hususani magazeti=haswa mwananchi) kwa nini kwenye title zao huwa hawaanzi na title ya MAKAMU WA KWANZA WA RAIS WA ZANZIBAR?
Mfano:Maalimu Seif ahimiza uwekezaji katika elimu

Miafrika na kupenda titles huku haiwezi kazi na they cannot deliever hii ni cancer kweli .Kwani akisema JK au Maalim ina maana title zao zinaondoka au zina oza ? Acheni kutupotezea muda na kupenda title bila maendeleo kutokana na hizo title .Ulaya watu wanaitana majina ya kawaida hata wewe na boss wako na bado wanatupa misaada .Ujinga wa titles uko CCM na bado Nchi iko gizani .Shame shame .
 
Hana kazi yoyote kule yupo jela ya kisiasa kwa malipo siyo kiongozi wa serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, kwanza alikuwa hayatambui mapinduzi ya Zanzibar na aliposikia Mapinduzi daima alisema anakerwa iweje leo aimbe Mapinduzi daima?
 
Kwenye ukurasa wa mbele wa gazeti si lazima kutaja cheo cha mtu lakini anapoanza kuelezea habari husika ndipo utakuta anataja cheo cha muhusila
 
Kama Slaa pia.. Hakuna anayesema Padri Muasi Slaa...............kwa sababu kila mtu anajua hivyo!

Wewe mgonjwa una psychosis (acute phobia) na inaelekea you dread Slaa sana...pole sana sijui itakuwaje akishika nchi kama anakunyima amani sasa hivi...na mbado
 
hana kazi yoyote kule yupo jela ya kisiasa kwa malipo siyo kiongozi wa serikali ya mapinduzi ya zanzibar, kwanza alikuwa hayatambui mapinduzi ya zanzibar na aliposikia mapinduzi daima alisema anakerwa iweje leo aimbe mapinduzi daima?
sio yeye tu hata sisi wananchi tunakerwa na neno mapinduzi kwa sababu mapinduzi ni mauwaji kwa zanzibar,kama hufahamu hisotry ya zanzibar njoo tukuvunze,mapinduzi yaliofanyika zanzibar ni kupinduliwa kwa dola ya zanzibar . Lakini tunawahakikishia tutairudisha dola yetu. Muungano tutauvunja.

Nashangzwa pia kuona makamo wa muungano siku zote huuandikwa kuna ni kamamo wamuungano katika magazeti lakini makamo wa zanzibar wa kwanza hawandiki huo ni ubaguzi na nia yenu watanganyika ku hiding zanzbar na viongozi wake wasitambulike kimataifa.
 
Hana kazi yoyote kule yupo jela ya kisiasa kwa malipo siyo kiongozi wa serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, kwanza alikuwa hayatambui mapinduzi ya Zanzibar na aliposikia Mapinduzi daima alisema anakerwa iweje leo aimbe Mapinduzi daima?

No permanent friend

No permanet enemy

Only permanent interests.

Permanent interest ni kuona GNU inarudisha Utaifa wa Zanzibar.

Upo Mkuu?
 
Back
Top Bottom