Zanzibar 2020 Maalim Seif Sharif: Mwisho wa enzi, Pemba

Gari bure ndugu wengi ni Vijana kwakufuata shangwe tu lkini usihadalike kwa hayo ndugu
It's unfortunate kuwa Vijana wengi wa upinzani hawawezi kuwaza nje ya kile wanachoelezwa na wakubwa zao kuwa nendeni kasemeni hivi ama kamtukane fulani.
 
TAKWIMU HAZIDANGANYI

Kwa kawaida Kisiwa cha Pemba limekuwa chini ya himaya ya Maalim Seif kwa muda mrefu, mara zote kura za Pemba zimekuwa ni kura za uhakika kwa Maalim, kwa kifupi Pemba ilikuwa ni Ngome ya Maalim Seif, ukweli huu kwasasa umebadilika. Mapokezi ya Dkt Mwinyi jana yamekuja na taswira mpya ya Pemba.

Twende sawa kitakwimu,

Kura za CCM Pemba hazijawahi kuzidi 20,000 kati ya kura 125,000 zinazopigwa miaka ya 2010 na 2015. Mwaka huu wa 2020 wamejiandikisha wapigakura wapya 23,000 na kufanya idadi ya wapiga kura kufikia 148,000 kwa Pemba.

UMATI wa Wapemba uliojitokeza Gombani jana ni zaidi ya watu 60,000. Hawa ni mbali na wale waliojipanga mabarabarani wakimpokea Dkt Mwinyi akitoka Airport.

FACTS ON VOTER'S BEHAVIOR

1: Wapemba sio Wanafiki

Kwa waPemba tofauti za kiitikadi zinafanana kabisa na itikadi za kidini. Mtu akishajidhihirisha katika Dini yake anakuwa muumini kamili. Wapemba wamedhihirisha Imani yao kwa sasa.

2: Wapemba wanapiga kura
Wakati wote ambapo takwimu za wapiga kura zinapungua Tanzania Bara, Pemba hazijawahi kupungua, wakati wote over 95% ya waliojiandikisha hujitokeza kupiga kura. Mpemba aliyekuwepo Uingereza, Italy, Dubai, Oman, Qatar, Kamachumu, Liwale, Kakonko na hata Ukala, atajiandikisha na kuhakikisha anasafiri umbali wowote aliopo kwenda kupiga kura.

3: Wapemba wengi (wafuasi kindakindaki wa Seif ni Diaspora) Kwa maana hawaishi Pemba, ndio maana mipango ya ushindi ya ACT Wazalendo imeenda kupangwa Dubai. Kwa hali ya Dunia kwasasa ambapo kuna Corona na Lockdown katika nchi zenye wafuasi hao kama ilivyo Uingereza, Ulaya na Canada pamoja na nchi za kiarabu ni wazi watashindwa kushiriki kupiga kura mwaka huu.

4; Umri wa Wapigakura.
Ukweli ni kwamba Idadi ya Wapemba wahafidhina (wafuasi wa Seif) imeendelea kupungua kwenye daftari la wapigakura. Vijana wenye maono,elimu na matarajio mapya wamejiandikisha kwa wingi. Age Sex structure inaonyesha 40% ya wapiga kura wana umri chini ya miaka 35 na walio na umri wa chini ya miaka 50 (Umri wa Mgombea wa CCM Dkt Mwinyi) ni asilimia 87 ya wapigakura (Age mates)

Ikiwa Maalim Seif ana miaka takribani 80, umri huo (miaka 75 - 85) kwenye daftari la wapigakura ni pungufu ya asilimia 1. Hawa ndio waliokuwa pamoja na Maalim, kusoma pamoja na kuishi pamoja. Kwa ufupi watu ambao wanamjua na kumfahamu Maalim Seif kwa undani kabisa.

5; CCM imejipanga Pemba,
Ushuhuda wa Kazi ya Dkt Shein na mashineri ya CCM imejimarisha zaidi katika kipindi cha miaka 5 iliyopita. Ni kipindi hiki ndipo Ndugu Polepole alifanya ziara Pemba exclusively kwa zaidi ya siku 45, ziara ya Dkt Bashiru na Mikakati ya ushindi ya Chama hakika zimezaa matunda. Ni katika kipindi hiki Wabunge na Wawakilishi kutoka Pemba walijiuzulu na kujiunga na CCM.

6: Mpasuko wa CUF / ACT / ADC
Kwa miaka 5 iliyopita, migogoro mikubwa imeikumba Kambi ya Upinzani, CUF ikapasuka, Maalim akahamia ACT Wazalendo.Mpasuko huo umeacha athari kubwa Pemba, CUF bado haijakata roho, ADC imeendelea kujiimarisha na ACT imjipenya Pemba, lakini ukweli ni kuwa Chama hiko hakina mizizi wala nguvu,Nguvu iko kwa Maalim mwenyewe sio ACT, ACT haina nguvu wala mashineri ya Ushindi.

7: Sifa binafsi za Mgombea,
Waswahili walisema, Wema hauozi na chanda chema huvikwa Pete.Maisha ya Dkt Mwinyi tangu wakati wote wa Uongozi wake yamekuwa ni ya kujishusha. Tabia njema imekuwa ndio SIFA KUU inayomtambulisha. Hana kashfa wala makandokando. Anakubalika na Vijana na anapendwa na Wazee na Watu wazima. Mapokezi ya jana yameakisi taswira ya mapenzi ya watu kwa Mgombea, hakuna Mgombea wa CCM aliwahi kupata mapokezi hayo tangu kuanza kwa vyama vingi, HATA Dkt Shein ambae amezaliwa Pemba na kuwa na ndugu huko HAKUWAHI kupata mapokezi hayo.

NYOTA NJEMA HUONEKANA ASUBUHI NA TAKWIMU HAZIDANGANYI KUWA DKT MWINYI NI RAIS WA MIOYO YA WAZANZIBAR.

Ni wazi na ukweli usio na shaka yeyote kuwa kura za Dkt Mwinyi Pemba ni zaidi ya 90,000 Mwaka huu.

#YanayoNineemaTupu.
#Ushindiwamapema
#Mwinyi2020
View attachment 1572087
Utajua kuwa hujui
 
#Mwinyi2020✅
View attachment 1572087
Kwa kweli nampongeza sana Mheshimiwa huyu kwa uchambuzi wa kina sana na uliojaa ' Weledi ' wa hali ya juu Sana! Kwa hakika wewe Ni msomi! Hongera kwa uchambuzi huu. Tunataka articles kama ya msomi huyu na siyo ushabiki shabiki kama watoto wadogo walio chini ya umri wa miaka 18 !!!! Wasilisha hoja yenye
 
Back
Top Bottom