Maalim Seif avuliwa Ukatibu Mkuu CUF, Magdalena Sakaya apewa Ukatibu Mkuu

Lipumba Ashukuru Sana Tanzania Tunapendana Hatuna Roho Za Visasi kama Baadhi ya Nchi nyingine,Angekuwa Kama Burundi au Somalia analeta kama Hizi mda Mrefu Kichwa chake kingeokotwa Mtaroni.
 
hii cuf imeshakufa kabisa kwasababu ya kupokea order za pale ikulu,, juzi nimemuona huyo prof akiwa hapa magogoni ila sikujua kama walikuja kujadiliana swala hili
Au wewe ni Chadema? Lipumba hajaisema CCM kuwa ni chama kinachotaka kuvuruga CUF, Ameweka wazi kuwa CHADEMA ndiyo inayotaka kuiua cuf ili vibaki vyama viwili CCM na CDM. Sasa wewe unapokuja na hoja ya kuishambulia CCM wakati mjadala ni juu ya CDM , je tukueleweje?
 
Kuna gazeti moja la Kiislam nimesahau jina tena ni hukohuko kwa Wapemba lilimtahadharisha sana Maalim Seif na huu mgogoro lakini hakuwaelewa. Hapa Chadema inagain tu. Huu urafiki wa Ukawa ni mashaka tu. Cuf wakijastuka ni asubuhi ndio wavute shuka wenzao haooo
 
Lakin kasema kweli Profesa lipumba

Pamoja na mapungufu yake makubwa ila mwalimu sefu akitaka kukifanya CUF kuwa kama ni chama cha wazanzibar pekee...thats why huku bara mwalim sefu hajaweka mkazo kabisa

Nguvu zake zote zipo visiwani

Anaua chama
 
View attachment 488605
20160928_044137.jpg
hii ni baada ya "Seif kumfukuza Mkiti Lipumba" mwaka 2016 na baadae "Lipumba kumfukuza katibu mkuu Maalim Seif"
 
Au wewe ni Chadema? Lipumba hajaisema CCM kuwa ni chama kinachotaka kuvuruga CUF, Ameweka wazi kuwa CHADEMA ndiyo inayotaka kuiua cuf ili vibaki vyama viwili CCM na CDM. Sasa wewe unapokuja na hoja ya kuishambulia CCM wakati mjadala ni juu ya CDM , je tukueleweje?

Lakini mkuu threaf hii inahusu CUF, Lipumba na Maalim Seif na siyo CHADEMA.

Usitoke nje ya mada. rudi katika mstari twende sawa.
 
Napata mashaka kama lipumba elimu yake inashindwa kumsaidia na anaamua kuiua cuf hivi hivi.bora hata dk slaa alikaa pembeni na kukiacha chama,Huyu mzee anaelekea kujiua kisiasa kama lyatonga muda utaja dhibitisha maneno haya kama. Anapenda upinzani ni heri angejiunga Act au kama anapenda siasa angerudi tu Lumumba magufuli asingemnyima kazi ya kufanya kuliko kujaribu kukimaliza chama cha wananchi
 
Prof. Lipumba dhambi hii ya kuua chama haitakuacha. Umekubali kutumika waziwazi kuizika CUF!!!??. Mungu anakuona.
 
Hivi huyu Profesa hata kama hawezi kuona hatima yake ya miaka walau mitano ijayo, anashindwa kuona hata ya juma moja!?
Nia ya Lipumba ni kuiua CUF ndio kazi aliyotumwa kufanya. Why is it becoming difficult for you to see the obvious.Yanayoikuimba CUF kwa sasa sio bahati mbaya,a long time action plan is being implemented.
 
Ndio maana naona kama mfano wewe umetumwa kuniua mimi alafu unanisubiri gulioni na panga badala ya kuniwekea japo sumu kwenye chai, ujinga uliokithiri!
 
Hivi huyo jamaa yupo? He wrote a book when he was in house arrest some years ago may be 78-80 candid to my country. Ulishasoma hicho kitabu?
Yupo na alifungua chama kipya cha siasa chausta
 
Nia ya Lipumba ni kuiua CUF ndio kazi aliyotumwa kufanya. Why is it becoming difficult for you to see the obvious.Yanayoikuimba CUF kwa sasa sio bahati mbaya,a long time action plan is being implemented.
Siku ikifika utawaona kimbelembele kubeba sanduku lake
Na kumsifia saaana eti alikuwa shujaa alipambana mpaka mwisho Mwafwaaaaaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom