knock knock
JF-Expert Member
- Mar 8, 2018
- 326
- 384
Baba anahangaika huyuuuu!!!! Yaani atafia kwenye siasa huyu.
Ndio kiongozi wa watu muaminifu anavyokuwa, tofauti na wale ambao waliingia kwenye siasa kwa maslahi yao binafsi kama Mtatiro, Mtolea na wenzake ambao walifuata hela na umaarufu wa chama kuneemeka na familia zao.