John W. Mlacha
JF-Expert Member
- Oct 4, 2007
- 3,504
- 1,341
eti kuna kimbunga kinaitwa anais kimetokea huko bahari ya hindi. Kwa hiyo kimepindisha mvua ambayo walitabiri kuwa itakuja oktoba... Hahahahha
Mwingira upo??
Mwingira upo??
Kwa hiyo kimbunga hawakukiona kwenye darubini yao? Inasikitisha sana, wakitabiri haitokei wasipotabiri kitu balaa! Poor TMA au wanatumia waganga wa jadi nini?
aiseeeeeeeeeeeee babaangu wenzenu walikuwa wanamanisha oktoba ya mwakani nyinyi mnafikiri ya mwaka huu