Maajabu ya twitter!!

Paddy

JF-Expert Member
Sep 22, 2010
462
304
@salvarweyemamu
@daudibalali

GTs hizo account mbili nashindwa kuzielewa. Salva anaiponda serikali na ufisadi kupitia hiyo account yake.

Cha ajabu zaidi ni huyo jamaa anaeitwa Balali, anadai hakufa na anajiandaa kumwaga siri zote!!
 
Wala sio maajabu hata kidogo...
1. Kwani @salvarweyemamu wa twitter lazima awe @salvarweyemamu uliyemjua/unayemfikiria wewe?
2. Kwani @daudibalali wa twitter lazima awe @daudibalali unayemjua/unayemfikiria wewe?
Si mtu yeyote anaweza kufungua account kwa kutumia usernames hizo?

Ni kweli ni kama hapa jf mtu anaweza jiita slaa au zito na picha akabandika
 
WADAU:
siwezi kusema kama ni tetesi au laah..lkn kwa wale waliokua katika mtamdao wa kijamii wa TWEETER kuna jamaa anaitwa/amejitambulisha kama Daudi balali..anadai hajafa yupo na siri nzito sana itakayotawanya taifa hili siku akisema
kwa madai yake anasubiri mda mwafaka...kazi kwetu..
huyu jamaa alikufa kweli au tulichezewa kama movie ya Godfather?
Ana siri gani kubwa kiasi hicho?yupo wapi..
AAAAAAH na maswali mengi ila kwa leo ni hivi tuuu

source
tweeter
 
Hata mimi nahoji juu ya usiri mkubwa uliotawala mazishi ya aliyekuwa gavana wa banki kuu pale BOT. Moja ya principle ya kiintelejensia ni usiri, sasa iweje. Pale pana namna imechezwa pale!
 
kwani utawala hawajui alipo? LTK wamelala? Basi itakuwa ajabu sana kama itakuwa ni kweli
 
Back
Top Bottom