‘Young’s double slit‘ na ‘Delayed choice quantum eraser’ inavyotumika kupredict matokeo ya mechi za mpira kwa uhakika wa 100% (CERN facility)

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
36,066
40,725
Kuna phenomena moja iliyogunduliwa na wanasayansi ya kada ya ‘Quantum mechanics’ ambayo ni ‘wave - particle’ duality ya mwanga.

Hii inakuwaje? Nisikilikze kwa makini

Kwa miaka mingi wanasayansi walikuwa wakiamini kwamba mwanga husafiri kwa mfumo wa mawimbi kupitia ‘medium flani’ ambayo hawakujua ni ipi, wakaiita ‘Lumineferous ether’, ila kuna siku walijaribu kuupitisha mwanga kwenye vacuum (ombwe) ambapo cha ajabu mwanga ule ulisafiri bila shida yeyote kwenye ombwe hilo bila ‘medium’, ni kana kwamba mwanga ulikuwa ni chembe chembe (particles) na sio Wave (mawimbi).

Hiyo ilileta taharuki, wanasayansi walihisi kuchanganyikiwa. Sasa kuna jamaa mmoja alikuwa mjanja sana, akataka kumvua nguo na kumwacha uchi ‘Creator’ wa uliwengu wetu, lakini nae hakukubali, alimwonyesha maajabu ya maajabu yote, na japo wanasayansi hawataki kusema, ila hiki kilichotokea ndio fumbo la mafumbo yote, inaogopesha hata kuwaambia watu wengine, ndio maana wanafanya siri mno. Sasa mimi leo nawaambia alichofanya na kilichompata.

Alifanya jaribuo moja maarufu sana, wanaliita ‘Young’s double slit experiment’, ambapo alitoboa vitundu virefu viwili kwenye Panel kisha kwa mbele yake akaweka screen ya kupokea mwanga aliopitisha mbele ya panel. Sasa vitu vyenye asili ya mawimbi, vipita kwenye vishimo viwili, huwa vikitokeza kwa mbele vina gongana na kutengeneza ‘interference pattern’ ambayo hujichora mbele kwenye screen. Hii ilionyesha dhahiri kwamba mwanga ni mawimbi.

Sasa utata ukaja, mawimbi yanaweza kusafiri vipi kwenye vacuum?! Maana yake mwangi ni particles?! How?!

Wanasayansi wakasema haiwezekani, hebu tuweke sensors kwenye hivi vishimo, ili videtect ni tundu lipi hasa ambapo hizi particle / waves zinapita, cha ajabu na cha kushangaza, wakiweka detector basi ile pattern kwenye screen inabadilika mbele ya macho yao, badala yake inaonyesha mistari miwili tu kwenye screen , kuashira kwamba kilichopita ni ‘particle’ na sio ‘mawimbi’ tena.

Yaani kitendo cha kuchungulia tu kutaka kujua mwanga umepita wapi, basi mwanga unashtuka kwamba kuna mtu amechungulia siri yetu, tujibadilishe tujifanya ni chembe chembe, haa!! Watu walipagawa haijawahi tokea.

Wakaboresha mbinu zaidi, lengo ni kumvua nguo ‘creator’.

Wakaboresha zile sensor na kuweka katika mpangilio wa ‘The delayed choice quantum eraser’ wakitumia mbina ya ‘particle entanglement’, ambapo particle moja inakuwa kama pacha wa mwenzake.

Yaani ni kwamba zile taarifa za detector kwamba particle imepita tundu lipi walikuwa hawaziangalii, bali walikuwa wanazihifadhi kwenye chombo maalum kinachopokea ile particle pacha (entangled particle) (kama unavyo hifadhi coded information kwenye flash disk), halafu sasa ule uamuzi wa kwamba tuchungulie zile taarifa za entangle particle au tusizichungulie zilikuwa zinafanyika baadae , hata wiki baadae kwa kufanya ‘roll of a dice’. Basi kila walipokuwa wanafanya roll of a dice wiki moja baadae ambapo iliangukia kwenye upande wa ‘Tuchungulie’, unakuta ile experiment waliyofanya wiki moja kabla ilionyeshe mistari miwili, kwamba kilichopita ni particle, na kama roll of a dice a week later ilidondokea kwenye ‘tusichungulie’ ambapo taarifa ziliji- self destruct without any possibility of recovery, basi experiment ya wiki moja kabla mwanga ukionyesha ‘interference pattern. My God! Yaani ni kama mwanga ulijua nini kitaamuliwa wiki moja baadae.

Sasa tuseme uamuzi wa kuchangulia au kutochungulia ile siri unafanyika si kwa kuroll dice, bali kwa kutengenea na kama Arsenal atafungwa au la. Basi wakiona interference pattern wanajua next wiki gunners wanalala, na kweli inakuwa. Hii wanaofanyankwa kutumia Tube kubwa sana iliyopo huko ulaya, inaitwa CERN LARGE HAEDRON COLLIDER, ambalo ile ‘entangled particle’ inazingushwa ili kuichelewesha kwanza hadi pale wanapotaka kujua matokea ya mechi flani , ndio taarifa zake zinaamuliwa zisomwe au ziwe deleted, in which case uamuzi huo huwa unakuwa connected na either timu flani imeshinda au imefungwa, na hivyo wanapata matokea wiki moja, au wiki mbili kabla.

Najua sijaeleweka kabisa, ngoja nile kwanza, nakuja kufafanua..

=========================

Ingawa sehemu nyingi sijaelewa lakini nimesoma mpaka mwisho nikifikiri itanisaidia kwenye kubet, nasikitika andiko lako halijanipa mwangaza wowote.
 
Jamaa:Mambo vipi bro!
Mimi:Safi nani?
Mimi group member mwenzio wa group la Vichekesho.
Mimi:Anhaa ok nimekupata Lete Maneno.
Jamaa:Nauza odds bro?
Mimi:eek:dds za mambo ya kubet au?
Jamaa:ndio.
Mimi: poapoa not interested.
Jamaa:🐸😏
 
Mbinu Mpya ya Utapeli.....maelezo mengiiiii
 
Back
Top Bottom